Kama wewe ni binti na una miaka 25 au zaidi na hujui kabisa nani atakuoa na hamna dalili, usichukulie poa

Watu wanaolewa na miska 40 usiwatishe bana
At 40 K inakuwa shakauka mkuu. K huacha kutoa ute wa kuilainisha at the age of 45. Ndiyo kusema at a 40 inakuwa imeahaanza kupunguza kutoa ute. Sasa uanunua gazeti za 12 jioni ili iweje?
 
Nina girlfrnd wangu ana 25 sasa ofcoz kanizidi umri...nataka nichukue uamuzi mgumu wa kumuacha coz sina plan ya kumuoa na yeye mpaka kwao washaanza kumuuliza kuhusu kuolewa..alafu ananipenda sanaa na kila nkionesha dalili za kumpotezea analiaa sana na kuniomba nisimuache... Yani daah noma san
Achana nae huyo! Asikuletee unaa.
 
Ndio maana wadada siku hizi ukiuliza kama ni bikira anakubali wakati anajua kuwa ni Chama la wana
 
Nina girlfrnd wangu ana 25 sasa ofcoz kanizidi umri...nataka nichukue uamuzi mgumu wa kumuacha coz sina plan ya kumuoa na yeye mpaka kwao washaanza kumuuliza kuhusu kuolewa..alafu ananipenda sanaa na kila nkionesha dalili za kumpotezea analiaa sana na kuniomba nisimuache... Yani daah noma san
Kwa mambo kama haya bado tu wanawake wanaonekana ndo wana matatizo!
 
hahahahaha!!!
Wengine wana miaka mingi wanaenda kusali jioni hadi wanakesha kuomba wapate Waume lakin wakisimamishwa njiani na mwanaume, utasikia, samahani kaka nawahi maombi,
Ukibahatika akakusikiliza haizidi dakika, ukimwambia Akupe namba ya simu anaanza kuondoka Huku akikemea toka pepo mchafu, ushindwe kwa jina la yesu.
Akifika kanisani anawaambia wenzake leo alikutana na majaribu na ameyashinda kwa uwezo wa Mungu wanaendelea kukemea huku wakimsubiri mchungaji aje awaombee ambao hawajaolewa waolewe
 
Ujue mnajisumbua tatizo ni ili hapa
1.mwanamke uwa anampenda mwanaume mmoja tu we hata usumbuke vipi kama hataki hataki tu
2.wanaume pia hupendwa na wanawake wasiowahitaji
Mwisho wake
Kila mtu anaingia kwenye ndoa huku hayupo tayari na mtu aliyenaye ilo ndo balaha sasa
Hii inatokea wengi sana unaemtaka hakutaki usiemtaka anakuja kwa speed 360
 
Back
Top Bottom