Kama wewe ni baba au mama acha kuwanunulia watoto hii midoli ya aina hii hata walie vipi

Kwa watu wazima Kila kitu kinaanzia kwenye fikra. Ukiona midoli unawaza nn?

Watoto lazima waone kitu kwa wakubwa ndo wajaribu kukipractise, wakiona mtu mzima anafanya jambo na maumbile yake na yeye atajaribu kinyume na hapo hata wakiachwa uchi na hiyo midoli na wenzao, watacheza na kufurahi tu.
 
Hapo wanalazimisha mambo ya LGBT katika fikra za mtoto.Kuzalisha kizazi kama hicho kinahitaji will power tu sio uchawi
Hatari sana hawa viumbe wana mbinu nyingi twapaswa tuongeze umakini katika malezi ya wanetu
 
Ndiyo kwanza nauona leo mdoli wa namna hiyo..ila Ni kweli midoli si salama kwa watoto mengi huwa na roho chafu.
 
Umetoa ushauri mzuri upande wa maadili na elimu ya masuala ya ngono.

Ila nastaajabu kuona wajumbe wanaleta masuala ya ushirikina tena. Hivi ni lini tutaacha kuhusisha kila jambo na ushirikina?
 
Kuna ile midoli mikubwa inayouzwa madukani...hasa Kariakoo....hivi kwa nini hawaivalishi nguo..,.yaani wameiacha uchi tu.....mm naona pale ndio hakuna maadili.
 
Hii midoli ni ya kawaida tu na haina tatizo lolote. Mbona wazungu mitoto yao inachezea na bado ina akili kushinda mitoto ya afrika?
Watoto wa kiafrika wana akili kuliko wa kizungu,tatizo Africa ni mazingira na lishe duni hasa viporo.
 
Sawa. Vipi kuhusu baba zao ambao wanamiliki rasilimali (dhahabu, almasi, gesi, makaa ya mawe, Tanzanite, maziwa, mbuga za wanyama n.k) lakini bado ni masikini? Mibaba ya mitoto ya kizungu yalikuwa yanachezea midoli lakini ina akili sana mpaka kesho kutwa.
Kuwaza mambo ya uchawi, mizimu n.k ni UVIVU WA KUFIKIRIA.
AFRICA IS POOR, BECAUSE IS POOR. KATIKA RACE YA KIJINGA KULIKO ZOTE NI WAFRIKA
Watoto wa kiafrika wana akili kuliko wa kizungu,tatizo Africa ni mazingira na lishe duni hasa viporo.
 
....Sinema ni Tafakuri ya Binadamu kuhusu Yajayo, Yaliyopo na Yatakayokuja....!
Weeee Annabelle, Robert doll, na Peggy's doll, hizi zote ni zakwel sio uongo ata movie zake matukio walio igiza yalitokea kweli had sasa imehifadhiwa kwaajir ya usalama
 
Kadoli ka kike lakini kana machine ya kiume mammee zao wasije fanya watoto wapende mambo ya kike kike
Wanataka watoto wetu akili zao zijengeke kuwa swala la transgender na ushoga nilakawaida katika jamii.

Tusipo angalia tutawapoteza watoto wetu
 
Back
Top Bottom