Kama wewe ni aina hii ya mwanamke, your boyfriend must cheat na usimlaumu

mkuu bado hujabahatika, siku ukibahatika utakuja futa hii reply yako kwa aibu nzito
Naunga mkono hoja. Huyu hajakutana na wazee wa kazi. Ngoja tukae kimya.

Mtoa mada kasahau na wale wakati wa tendo ndiyo muda wa kueleza matatizo na changamoto zote za familia.
 
Back
Top Bottom