Takeu style
Member
- Aug 24, 2019
- 81
- 49
Wakuu Habari xa wakat huu kama ingekuwa ww ndo umekutana na hii yaani ww ndo Adimn wa hili group ungefanyaje baada ya haya yaliyoendelea kwenye group lako ukiwa kama adimn, shuka nayo mwenyewe hapa chini
STORY YA DEM WA ADMIN
ADMIN
Morning guyz
LUCY
typing..
ADMIN added George
GEORGE
typing...
LUCY
Morning bebz
ADMIN
typing..
GEORGE
Thanx for add Admin
ADMIN
Welcome bro,za siku
GEORGE
typing..
LUCY
Bebz ninashida,nataka kwenda Moro bt sina nauli,i need only 10,000@Admin
ADMIN
typing..
GEORGE
Nko poa bro,am driving. sorry, ntakuchek baadae.
LUCY
typing..
ADMIN
Bebz nko vbaya now, ngoja nifight jioni ntakurushia@Lucy
LUCY
Niaje George.
GEORGE
typing..
ADMIN
Hope umenielewa bebz@Lucy
GEORGE
Poa sana Lucy, niambie
LUCY
typing..
ADMIN
Safe journey bro@ George
LUCY
Umesema your are driving to where?
ADMIN
typing..
GEORGE
Moro @ Lucy.
LUCY
typing..
ADMIN
Kwani huoni message zangu Lucy?
LUCY
Gosh! Umefika wapi @ George?
GEORGE
typing..
ADMIN
George si umesema unadrive tuchat baadae?
GEORGE
Nimefika Ubungo Mataa @ Lucy
LUCY
typing...
GEORGE
Nlikuwa nadrive bt now no ubungo mataa na kunafolen ile mbaya @ Admin
ADMIN
typing..
LUCY
Plz ukifika Kimara nshutue at mm naenda Moro na sina nauli.
GEORGE
typing..
ADMIN
Bebz nimepata, nakurushia@ Lucy.
GEORGE
Haina shida Lucy,in fact I was so loney.
LUCY
typing..
ADMIN removed George.
LUCY left