Kama wewe huniombi kitu ni juu yako, ninapohitaji kitu kutoka kwako ninachojua unaweza kunipa nitakuomba tu

Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
10,471
23,744
Huyu dada ndo amenambia hayo maneno. Baada ya kuniomba tena leo kwa mara nyingine lunch twende wote. Jana aliniomba twende lunch akalipia akaomba kulipia pia. Tulibishana sana na akawa mkali kuwa yeye ndo ameniomba anitoe.

Leo tena kanikuta restaurant kaomba anywe Milk Shake. Nikamwambia anywe. Then akaja kaa nami. Nikamwambia haogopi kuniomba huki mi sijamwomba kitu hata siku moja.

Akanambia "hilo yeye linamhusu vipi? Kama simwombi kitu ni mimi mwenyewe kutotaka. Hajawahi ninyima chochote. Akaendelea mbele kibabe na kusema. Yeye ataniomba tu piga ua. Ili mradi anajua ninacho hawezi ogopa"

Akachukua packet yangu ya juice akainuka na kuondoka akichezesha makalio yake kuelekea kaunta. Kule kanilipia Juice. Kaacha nimlipie Milk shake.

Mpaka hapa nawaza nimwombe kitu gani? Au simu yake. Ana simu kali sana.
 
😃😃 tutajitahidi.. ila tatizo mnazificha sana
Tatizo mnahaingaika kutukweka kwenye chupa...

Tafuta movie ya Mr & Mrs Smith... utaelewa zaidi...

Yani ukinikuta na ka juice kangu, unanisa kibao cha nguvu, unaichukua unaimwaga alafu unaendelea kuilipia...
Nikikifuata kwa hasira unanitia mabusu, tunatiana mabusu tunaondoka zetu...
 
Mbona kuwekana kwenye chupa 😂😂😂

Mwanaume wa kibongo umnase kibao? Hehe kama hajakutia mateke ya uso 🤣🤣

Hhah mambo ya mov na hawa watoto wa mama mkwe wa huku ni balaa
 
Mie nadhani huyo ungemuomba akakutane na Putin na Zelensky waache vita bei ya mafuta ishuke maana wabongo tupo hatua za mwisho mwisho kuita maji “MMA”
 
Mbona kuwekana kwenye chupa 😂😂😂

Mwanaume wa kibongo umnase kibao? Hehe kama hajakutia mateke ya uso 🤣🤣

Hhah mambo ya mov na hawa watoto wa mama mkwe wa huku ni balaa
Sii mnapenda kutuona tukiwa mazoba...

Ninase mimi vibao, ushawahi kupigwa huku unasema kizungu yess. ..yess...

Nenda kaangalie hiyo movie...
 
Back
Top Bottom