Kama wazoefu naombeni ushauri wenu niingie mtaani na fikra gan kulingana na soko la ajira?

Jovin john

Member
Oct 13, 2020
14
3
Kama ilivyoelezwa Mimi naelekea kuhitimu bachelor yangu katika chuo cha kumbukumbu cha mwalimu Nyerere this year 2022 . Kama wazoefu naombeni ushauri wenu niingie mtaani na fikra gan kulingana na soko la ajira ? .
 

johnman

JF-Expert Member
Jun 10, 2017
947
2,546
Degree in Management of Social Development mkuu
Hebu pitia huu uzi hapa


Sent using Jamii Forums mobile app
 

Jovin john

Member
Oct 13, 2020
14
3
Hebu pitia huu uzi hapa


Sent using Jamii Forums mobile app

Duu nishaupitiaga unakatisha sana tamaa
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom