Kama wasomi wenyewe ndio hawa wasiojua Kiswahili fasaha na wanaandika kihuni ni heri waendelee kukosa ajira

CCM wameleta yote hayo halafu wanajitia ni wazalendo wakati lugha ya taifa hawataki kuienzi kwa kuhakikisha elimu bora inayohakikisha angalau sote tuiandike lugha ya Kiswahili kwa viwango vya BAKITA.

Ufaransa wana Alliance Francais na Ujerumani wa Gothe Institute kuhakikisha lugha zao zinaandikwa kwa ufasaha na kila raia, ofisi shule na media zote hata zile za udaku huu ndiyo uzalendo wa kweli na siyo CCM watajidai walisoma hesabu na sayansi ndiyo maana hawamudu kuandika kwa ufasaha.
 
Back
Top Bottom