Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 47,011
- 144,371
Sehemu ambazo vyama vya CUF na ACT vina nguvu zinafahamika na pia kama mgombea wa uraisi atakuwa ni mmoja kwa mwanvuli wa UKAWA,ni vipi CHADEMA itaathirika na Maalim Seif kujiunga ACT?
ACT haiwezi kupewa majimbo mengi kama CHADEMA kwa huku bara kama kweli upinzani wanataka kubeba viti vingi na hili liko wazi hata kwa wapinza wenyewe wakiwemo ACT.
ACT watapewa majinbo mengi Zanzibar kuliko vyama vyote washirika vinavyounda UKAWA na CHADEMA,NCCR pamoja na Mzee Hahimu Rungwe na chama chake hawawezi kipinga hili.
CCM hii imekula kwenu nyie tegemeeni tu kubebwa na tume lakini sio kushinda katika sanduku la kura.