Clkey JF-Expert Member May 29, 2014 5,670 15,247 Dec 2, 2016 #2 Hahahaha Mshana bwana huishagi vituko aisee Nimewapenda hawa ww chini kabisaaaa
Slim5 JF-Expert Member Jan 7, 2014 28,108 37,644 Dec 2, 2016 #3 Hii ya chini kabisa, nimeipenda. Huyu atakuwa kanyolewa NEVADA BARBERSHOP, BUGURUNI
Naisujaki Lekangai JF-Expert Member Aug 19, 2012 1,340 1,377 Dec 2, 2016 #4 Mhhh. Nyie kwa kufukunyua! Mpaka picha za wanyama?
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,794 Dec 2, 2016 Thread starter #7 DOUGLAS SALLU said: Wanatoana chawa. Click to expand... kwenye naniliu?
Kingsharon92 JF-Expert Member Aug 10, 2015 7,554 9,531 Dec 2, 2016 #8 Wangesema ni wanaume wa jiji fulani hapa nchini kuleeee kwa mkuu wa mkoa anaitwa madaladala aka makooo nda
Wangesema ni wanaume wa jiji fulani hapa nchini kuleeee kwa mkuu wa mkoa anaitwa madaladala aka makooo nda
Mshana Jr Platinum Member Aug 19, 2012 269,632 697,794 Dec 2, 2016 Thread starter #10 miss chagga said: wanataka kuingia chuvini Click to expand...