Kama wanayoota chadema kwenye hii nchi ni kweli! Basi watakuwa kama mitume ingawa watu waliwakataaa!

mbegubora29

JF-Expert Member
Mar 14, 2015
483
294
Najaribu kuwaza na nikimwangalia chadema hivi Nani atakuwa rahisi na wao wakridhika na je wao wakiishika hii nchi tutafika wapi?

Mbona chama Chao kina ukata lkn hawajiwezi,mbona sio wanademokrasia Kama jina la chama chao? Upinzan kwa ujumla Tz wanaota au wanafanya nadharia ambayo haipo? Nilkuwa nataman niwaone siku moja madarakan tuishi Kama ulaya yaan huduma kibao za kijamii,
Ila Nan atawaamini ili wapewe nchi kwa tabia zao za kuganda ktk madaraka miaka nenda Rudi Kama mwenyekiti wao?

Chadema au upinzani Tz mnakwama wapi?
 
Waliowakataa si "watu" mkuu bali waliopo madarakani wakiungwa mkono na polisi, wasiojulikana na wale wengine kama hao.
 
Anasema wanabaki madarakani kama mwenyekiti wao; unajua katiba ya CDM? Kuna siku wanachama waliwahi kusema wanataka mwenyekiti atoke na akagoma?
 
Nan mwenye uwezo wa kusema mbona zito alisema na yakamkuta!
 
Back
Top Bottom