Kama wale wamefukuzwa hakika mwalimu huyu anapaswa kupandishwa cheo

Tutamhamishia wizarani maana yuko vizuri acha wengine waisome,hivi hakuna aliyekwenda kuripoti tukio kituo cha polisi ili jinai ichukue nafasi????
 
Screenshot_2016-10-07-21-17-55.png
 
Kama video inavyojieleza....
Watasema anawafundisha watoto uhuni! Kukata viuno! Yaani MTU akikuchukia basi hata ukiwa kwenye Maji watasema unawatimulia vumbi... Mwalimu hapendwi ila ndio anayetumiwa kwenye shughuli zote zisizo na maslahi
 
Well said Mkuu,wabongo hasa wenye dhamana hawana dogo
 
Back
Top Bottom