chiembe
JF-Expert Member
- May 16, 2015
- 15,138
- 25,879
Kuna wanajeshi wanateuliwa kuwa wakuu wa wilaya na mikoa
Wengine baada ya kuchoka siasa,hurudishwa jeshini kuendelea na shughuli za kijeshi.
Sasa kama ukuu wa Mkoa na wilaya ni nafasi za kisiasa,hawa huwa wanapewa nafasi hizo kwa tiketi ya CHAMA GANI CHA SIASA?
Pia ajira zao haziruhusu wajihusishe na siasa,sasa kwa nini wanapewa kazi za kisiasa?