Kama wakurugenzi wanafukuzwa kwa kushindwa kufikia malengo ya makusanyo! Erick Mapunda ded Mafia anangoja nini ofisini?

Tairi bovu

JF-Expert Member
Sep 28, 2017
3,063
2,983
Wajuzi wa mambo!

Zipo taarifa kuwa Mkurugenzi Mtendaji mji Mpwapwa amefukuzwa kazi sababu zikitajwa kuwa ni ukusanyaji mdogo / kutofikia malengo ya makusanyo ya mwaka. Sawa, lakini wapo wakurugenzi wengine mbona wamefika kiwango cha chini kabisa cha makusanyo? Bwana Erick Mapunda mkurugenzi mtendaji wa Mafia mpaka sasa Halmashauri yake ya mafia imekusanya 38% tu ya lengo la makusanyo kwa mwaka huu. Kwa hali hii mkurugenzi huyu alilimwa barua kiwa kiwa halmashaur yake inatakwa iunganishwe na halmashauri moja wapo ya mkoa wa Pwani Rufiji au Mkuranga.

Ni kweli kwamba Mkurugenzi huyu sasa halali anashinda kwenye madago/kambi za uvuvi, akiyasaka mapato. Ni juzi huyu aliwekewa sumu huko Tumbuju.

Nawauliza wajuzi wa mambo na mlio karibu na bwana yule. Kama kigezo cha mkurugenzi mtendaji nibkufikia kiwango tarajiwa cha makusanyo, sawa huyu Erick Mapunda wa mafia Bwana Erick Mapunda wa Mafia anangoja nini ofisini?

Ukweli ni kwamba ana dada yake kigogo pale taasisi ya elimu na yule ndugu yake wa usalama wa taifa ndio wanamfanya awe pale alipo.

Tukumbushane juu ya mapungufu ya mkurugenzi mtendaji wa Mafia.

1) Huyu aliuziwa gari ya mnada pick up DFP 666 kwa mizengwe yake. Gari sasa ipo Mbeya.

2) Ni yeye huyu mwenye mahusiano ya kingono na watumishi wake. Wanajulikana kutoka wa ardhi hadi wa sheria na hata wa baa.

3) Amewabakisha wezi wa Mafia community bank kwenye nyadhifa zao huku akiwafukuza alio na chuki nao.

Yaapo mengi mabaya ya Mapunda. Kwanini yupo ofisini mpaka leo? Analindwa na nani na kwanini?
 
Acha mamlaka husika zifanye kazi yake. Kuna usalama wa taifa kila wilaya, ingekuwa dosari zake ni tata basi ingekuwa alishachukuliwa hatua stahiki.

Wakija hapa wenye uchungu na chama changu watakuona mwenye wivu.
 
Mkuu huna lolote na story yako imejaa majungu na wivu ulokithiri, pale unapozungumizia gari alouziwa na pale unapozungumzia eti kawaacha wezi kazini na kuwafukuza wengine hapo ndipo umeonesha kiwango kikubwa cha chuki binafsi kwa DED huyo! Pia inaonekana wewe ni mtumishi wa hyo halmashauri au unatumiwa na watumishi wa hapo kwa maslahi binafsi! Acha majungu piga kazi
 
inaonekana unamjua maana details zake umeshusha hpo,ila ni ushauri tu pambana na hali yko,pia bahati ya mwenzio usilalie mlango.
 
Back
Top Bottom