Vin Diesel
JF-Expert Member
- Mar 1, 2011
- 9,088
- 6,368
Kichwa cha habari chajieleza.
NI KUTOKEA ARUSHA
Hakuna maelezo ya ziada
Asante
NI KUTOKEA ARUSHA
Hakuna maelezo ya ziada
Asante
Kibondo.
Unatumia gari gani?Dah nimechemka kuweka hii taarifa.
Ni Arusha mkuu
Asante sana
Minipo ifakara Mkuu..nikukute wapi naenda DSM maeneo ya kitunda
Kibondo.
Mkuu yule jamaa yako mmefikia wap??Minipo ifakara Mkuu..nikukute wapi naenda DSM maeneo ya kitunda
Hahah unasema uongo ndg yanguuuuuuuuuuu.Fanya kusogea hadi hapo Kakonko
Hahah unasema uongo ndg yanguuuuuuuuuuu.
Unatumia gari gani?
Unatumia gari gani?
Hamna noma chalaa angu,safari njema.Ni kutokea Arusha Mkuu...
Nilipitiwa kuweka hiyo info juu kwenye title
Unatumia
AmanayaHamna noma chalaa angu,safari njema.
Kama ni KE tutakutunzia siti,tena ya mbele kama ni ME labda uvae sketi.Minipo ifakara Mkuu..nikukute wapi naenda DSM maeneo ya kitunda
Kichwa cha habari chajieleza.
NI KUTOKEA ARUSHA
Hakuna maelezo ya ziada
Asante
Asante kwa angalizoWeek ya Kula MABUYU hii Kuweni Makini barabarani.
Kilimanjaro kuna vijana wanne wote wamekula MABUYU.....Mkata Umeme na George Washington.