Kama wabunge wanaikataa miradi ya hayati Magufuli basi ilani ya CCM iliyoshinda uchaguzi ibadilishwe na tuichague upya!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,898
141,835
Mambo mengine yanayoendelea bungeni ni ya kitoto sana na lazima yakemewe kwakweli.

Anasimama mbunge anasema SGR itatumia miaka 81 kukamilika hivyo haitufai.

Anasimama mwingine anasema Umeme wa maji ni hasara kwa taifa kwa sababu umepitwa na wakati.

Tukumbuke kuwa hii miradi miwili pekee inatugharimu zaidi ya tsh 15 trillion.
Sasa kama haifai maana yake Ilani ya CCM ndio imebeba madudu yote haya ndani yake na kwahiyo itupwe na isukwe ilani mpya.

Wanasheria wanasema kukifumua kitabu cha kurasa zaidi ya 300 cha Ilani ya CCM na kukisuka upya maana yake ni kuitisha upya uchaguzi mkuu.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
 
Bwashee, wabunge wako sahihi. SGR ingeishia Dodoma tu kwa kuanzia badala ya kuipeleka mpaka huko Isaka sijui.

Bwawa la umeme nalo linaleta mkanganyiko! Yaani linajengwa kwa visibility study ya miaka ya 1970's!!! Huoni na yenyewe ni outdated!! Umeme wa gesi ungefaa zaidi. Lakini kwa bahati mbaya tumewazawadia Mabeberu kuitumia huku sisi tukiambulia kiduchu tu kule Kinyerezi 1 na 2!

Angalia kwenye upande wa ndege! Hivi kuna umuhimu wa kuongeza nyingine kweli? Iwapo hizi chache zilizopo, zinazalisha tu hasara! Kifupi ni wakati sahihi sasa kwa Watanzania KUONGEA baada ya kuzibwa midomo kwa miaka zaidi ya mitano.
 
Yes,tumbo linauma na naumia sana.Niliipenda CCM kwa sababu ya kazi nzuri za Magufuli.Kama CCM ikitugeuka na sisi tunai-dump.Wamwage mboga na sisi tutamwaga ugali.Back to 2015.
 
Bwashee, wabunge wako sahihi. SGR ingeishia Dodoma tu kwa kuanzia badala ya kuipeleka mpaka huko Isaka sijui.

Bwawa la umeme nalo linaleta mkanganyiko! Yaani linajengwa kwa visibility study ya miaka ya 1970's!!! Huoni na yenyewe ni outdated!! Umeme wa gesi ungefaa zaidi. Lakini kwa bahati mbaya tumewazawadia Mabeberu kuitumia huku sisi tukiambulia kiduchu tu kule Kinyerezi 1 na 2!

Angalia kwenye upande wa ndege! Hivi kuna umuhimu wa kuongeza nyingine kweli? Iwapo hizi chache zilizopo, zinazalisha tu hasara! Kifupi ni wakati sahihi sasa kwa Watanzania KUONGEA baada ya kuzibwa midomo kwa miaka zaidi ya mitano.
Hiyo miradi ilipitishwa hapo hapo bungeni!
 
...ilani ya uchaguzi ya ccm haikushinda uchaguzi...si wa mwaka 2020..na wala si wa 2015...Kwa hiyo si sahihi hii hoja yako...na hata wabunge walioko sasa bungeni ..wengi wao hawakuingia Kwa ridhaa ya wananchi...labda ungeanza na hili...
 
Ilani ya CCM ndio iliyoshinda uchaguzi!
 
Hiyo miradi ilipitishwa hapo hapo bungeni!
Malizia kabisa ilipitishwa hapo hapo bungeni na wabunge wetu walio wengi, wa ccm! Lakini usisahau miradi mingine yule mzee wako alikuwa anajiamulia tu. Na mfano mzuri ni huo wa ndege.
 
Ilani ya CCM ni pamoja na kuhakisha nchi inapata Katiba mpya. Jiwe aliipiga teke na wabunge wa ccm wana haki ya kupiga teke hiyo miradi
 
Mkuu
Mambo mengine yanayoendelea bungeni ni ya kitoto sana na lazima yakemewe kwakweli.

Anasimama mbunge anasema SGR itatumia miaka 81 kukamilika hivyo haitufai.

Anasimama mwingine anasema Umeme wa maji ni hasara kwa taifa kwa sababu umepitwa na wakati.

Tukumbuke kuwa hii miradi miwili pekee inatugharimu zaidi ya tsh 15 trillion.
Sasa kama haifai maana yake Ilani ya CCM ndio imebeba madudu yote haya ndani yake na kwahiyo itupwe na isukwe ilani mpya.

Wanasheria wanasema kukifumua kitabu cha kurasa zaidi ya 300 cha Ilani ya CCM na kukisuka upya maana yake ni kuitisha upya uchaguzi mkuu.

Nawatakia Dominica yenye baraka!
Mkuu umesahau vigelegele,vifijo, nderemo,kusifu na kuabudu kipind cha hayati? Bas leo ndo ujue yale mamb yanaendelea na hayana afya kwa mustakabali wa Taifa na maendeleo. Think about it, and take this note to warn your team
 
Bwashee, wabunge wako sahihi. SGR ingeishia Dodoma tu kwa kuanzia badala ya kuipeleka mpaka huko Isaka sijui.

Bwawa la umeme nalo linaleta mkanganyiko! Yaani linajengwa kwa visibility study ya miaka ya 1970's!!! Huoni na yenyewe ni outdated!! Umeme wa gesi ungefaa zaidi. Lakini kwa bahati mbaya tumewazawadia Mabeberu kuitumia huku sisi tukiambulia kiduchu tu kule Kinyerezi 1 na 2!

Angalia kwenye upande wa ndege! Hivi kuna umuhimu wa kuongeza nyingine kweli? Iwapo hizi chache zilizopo, zinazalisha tu hasara! Kifupi ni wakati sahihi sasa kwa Watanzania KUONGEA baada ya kuzibwa midomo kwa miaka zaidi ya mitano.

Mkuu hapo Kwenye Umeme wa Gas hapana...
Gas Inachimbwa Huko Baharini na Makamouni Ya Wazungu wanatuuzia sisi,
Halafu sisi Tunaichakata tunaisafirsha na Kumuuzia Tena Mzalishaji wa Umeme,
Hizo gharsma zote anabeba Mwananchi!
Wakati Mradi wa Maji stiegliers Tanesco anazlisha mwenyewe kila Kitu anatuuzia wananchi!
Huko Kwenye Gas watu wana Vitaku Vyao sasa Vinawaozea wanatafuta pa Kupiga,Wamejitwalia vitalu tuu hawana Pa Kuviuza wao na Wazungus Share!
Common!
Kuwa Mzalendo Mkuu
Labda tungekuwa tunachimba wenyewe Gas hapo Saawa!
 
Cc johnthebaptist
 
Back
Top Bottom