Kama waandishi wa habari na wamiliki wa vyombo vya habari ni watu wenye kujitambua na wasio na chembe ya unafiki

Salary Slip

JF-Expert Member
Apr 3, 2012
46,888
143,985
Bila kujali nini kinaweza kuwa chanzo cha mwandishi wa gazeti la The Guardian bwana Simbeye kupigwa,magazeti yote ya kesho yanapaswa kuifanya hii habari kuwa ndio habari kuu yaani imeki-headlines katika magazeti ya kesho na kwenye tv na radio zote kuanzia leo.

Hata hivyo, kwa jinsi walivyo, sitashangaa kesho headlines zikawa ni habari ya Arusha na picha xa kina fulani ndio zikatawala alafu baada ya siku kadhaa watu hawa hawa watakutana na kutoa tamko la kulaani na kupinga tukio la mwenzao kushambuliwa na habari ikaishia hapo.
 
Mkuu tatizo lipo kwa wamiliki wa magazeti kwa mfano gazeti kama tanzanite,uhuru,dira na habari leo hawana uwezo wa kuandika mkasa huu wa mwandishi
 
Bila kujali nini kinaweza kuwa chanzo cha mwandishi wa gazeti la The Guardian bwana Simbeye kupigwa,magazeti yote ya kesho yanapaswa kuifanya hii habari kuwa ndio habari kuu yaani imeki-headlines katika magazeti ya kesho na kwenye tv na radio zote kuanzia leo.

Hata hivyo, kwa jinsi walivyo, sitashangaa kesho headlines zikawa ni habari ya Arusha na picha xa kina fulani ndio zikatawala alafu baada ya siku kadhaa watu hawa hawa watakutana na kutoa tamko la kulaani na kupinga tukio la mwenzao kushambuliwa na habari ikaishia hapo.
Magazeti yenyewe ndio hayo Jamvi la Habari ni ya kusifia utesi wa Faru John Na kina BASHITE
 
Salary slip Bavicha wakishindwa kukupa nafasi ya Patrobas Katambi nitaamini duniani kuna uchawi
Hawanijua kwa taarifa yako.Kupigania hii nchi si kazi ya wanasiasa na vyama vya siasa tu bali ni ya kila mmoja wetu kwa nafasi yake.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom