Kama vile mgombea wa Kijani hatokuwa wa MWISHO AFUNGE MLANGO?Anaongea km kakombolewa vile.

Nicholas

JF-Expert Member
Mar 7, 2006
25,260
7,195
Kila nikimsikia mgombea wa chama cha kijana naona kama hatokuwa wa mwisho afunge mlango. Huu ni msemo maarufu sana katika nchi ya Israeli. Kwa vile wanashambuliwa sana huwa wana utani wanoambiana. Wa mwisho afunge mlangoo... Kwa sasa Mgombea wa chama cha kijani na njano kama mmea wa alizeti.

Anaongea kama mtu ambae ni mhanga wa huu mfumo. Anaongea kiukawa ukawa, anaongea kama vile anapigia mstari kila kitu wasemacho Ukawa. Anaongea kama vile anathibitisha kwamba nae anaupenda ukombozi, kwamba anauchukia mfumo ambao yeye yupo ndani yake. Mbona itafurahisha sana kama ataamnua kwamba yeye sio wa kufunga mlango.
 
kaks hata mshua leo nimemwona hana Raha. Kila kitu kimefeli.

Mgombea nae amekaa kiukawa ukawa.anawa vua nguo kila anapoeda !!
 
Chakushangaza et TZ yake itakuwa ya viwanda ndo Sera yao wakat huohuo anawaomba wawekezaji kwenda alikokuwa kuwekeza hivyo viwanda vikubwa na vyakati, sasa hapo nashindwa kuelewa wenzake waliomtangulia hawajui kuomba au ?ulaghai mtupu
 
Chakushangaza et TZ yake itakuwa ya viwanda ndo Sera yao wakat huohuo anawaomba wawekezaji kwenda alikokuwa kuwekeza hivyo viwanda vikubwa na vyakati, sasa hapo nashindwa kuelewa wenzake waliomtangulia hawajui kuomba au ?ulaghai mtupu
Anawakumbusha watz matatizo yao wenye akili wangekuwa wakizuga..UKAWA Wanakazi ndogo..kuwauliza nani atakuwepo miaka 50 mingine ili aje ziona achilia mbali zifaidi hizo ahadi za CCM.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom