Kama utakuwa umeguswa na hili share kwa wengine.

Sefu jafary

JF-Expert Member
Jun 5, 2016
382
258
Nimatumaini yangu wote ( Jf members) mpo vema.Leo tuhamishe mawazo yetu kidogo toka kwenye siasa na kufikiria vitu vingine tofauti na siasa.Binafsi siasa za hapa kwetu (Tz), zina nichosha day after day.
Just enjoy your moment even for a single min by engaging in entertainments, don't wait until holiday time.
868a73aa56a2ed4a497f7ffb4c14f0ad.jpg
 
sasa akisuka za 30 nifanyeje ? nisiseme waaaaooooh niseme waaaaaaanguuu ? ok nitabadilika
 
Kama kapendeza namsifia maisha kusaidiana bana unataka mke wa peke yako kata mgomba weka ndani
 
Back
Top Bottom