*Kama utakipenda chochote hapa njoo Inbox tuzungumze biashara*

Eminem jr

JF-Expert Member
May 21, 2018
1,993
4,554
*BIASHARA HURIAA*
1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina
mlango wala mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa
machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza
kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 9,000/=,
haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny
umeme na kidude cha kuregulate moto
kimeharbika..
4. Meza ya plastic Tsh 4,000/= ina miguu 3 na
mmoja mfupi kidg.
5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 900/= ila
vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne
vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei Tsh
8,000/=
7.Flat scren bei TSh 90,000/= kioo kimepasuka
na haina rimot control na batan zime haribika
fasta nichek
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge TSh 70,000/=
ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha
kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki,
ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei Tsh 27,500/=
haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki
kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei Tsh 60,000/= haina
matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na
inadaiwa kodi ya miaka 2!
Karibu, bidhaa ni nyingi sana
 
Nawapenda sana watu ambao wanapenda kuongea ukweli kwenye biashara kama ww.

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
 
*BIASHARA HURIAA*
1. Freezer aina ya philips Tsh 80,000/=. Haina
mlango wala mtungi wa gesi
.
2. Feni ya chini Tsh 8,000/=. Inawaka kwa
machale.. yaeza kukaa hadi masaa 2 haijaanza
kuzunguka
,
3. Pasi ya umeme aina ya Phillips. Tsh 9,000/=,
haishiki moto kabisa hata ikae nusu saa kwny
umeme na kidude cha kuregulate moto
kimeharbika..
4. Meza ya plastic Tsh 4,000/= ina miguu 3 na
mmoja mfupi kidg.
5. Vikombe vya udongo Dozen 1 Tsh 900/= ila
vilipata ajali kidg.. vimekatika mikono na vingne
vimetoboka chini
6.Redio ya caset lkini haina transiforma bei Tsh
8,000/=
7.Flat scren bei TSh 90,000/= kioo kimepasuka
na haina rimot control na batan zime haribika
fasta nichek
8.Simu aina ya Sumsung s7 edge TSh 70,000/=
ilidondokea kwenye maji ikapiga shot, kitufe cha
kuwashia hakipo na hata ukiweka kingine haiwaki,
ni simu nzuri bora na ya kisasa!
9.Kamera aina ya sony mp 16 bei Tsh 27,500/=
haina lens, ni mbovu hata mafundi hawaitaki
kama spea.
10.Bajaji aina ya tvs, bei Tsh 60,000/= haina
matairi, viti wala usukani! Imetumika miaka 8 na
inadaiwa kodi ya miaka 2!
Karibu, bidhaa ni nyingi sana

Jr
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom