Kama Uspika 2005: Safari hii zamu ya mwanamama uraisi JMT na Zanzibar

Msulibasi

JF-Expert Member
Dec 2, 2014
5,836
7,492
Ni jambo la kuvutia na kutia moyo kuwa kina mama tunafikiriwa katika nafasi za uongozi serekalini ngazi zote ingawa bado ngazi ya urais.Kuwepo kwetu kwenye hizi ngazi za chini kumetufanya tuaminiwe kwa utendaji wetu na kuondo dhana ya kubebwa. Fikiri kuhusu Migiro,Ghasia,Makinda,Maria Sarungi,Sophia Simba,Nagu.Mdee,Sakaya,Tibaijuka,Saada,kwa kuwataja wachache. Hamuoni kuwa ni muda muafaka ikapita kauli mbiu kama ile ya uspika iliyosema safari hii ni zamu ya mwanamke ili iwe wazi.Maana hizi kauli zinasaidia kuwezesha mabo.Huyo Wanaohusika kutengeneza hizo kaulimbiu tafadhali fanyeni hima
 
Mbona katika orodha yako umemsahau kumtaja mwanamama maarufu sana Asumpta Mshama?
 
Ni jambo la kuvutia na kutia moyo kuwa kina mama tunafikiriwa katika nafasi za uongozi serekalini ngazi zote ingawa bado ngazi ya urais.Kuwepo kwetu kwenye hizi ngazi za chini kumetufanya tuaminiwe kwa utendaji wetu na kuondo dhana ya kubebwa. Fikiri kuhusu Migiro,Ghasia,Makinda,Maria Sarungi,Sophia Simba,Nagu.Mdee,Sakaya,Tibaijuka,Saada,kwa kuwataja wachache. Hamuoni kuwa ni muda muafaka ikapita kauli mbiu kama ile ya uspika iliyosema safari hii ni zamu ya mwanamke ili iwe wazi.Maana hizi kauli zinasaidia kuwezesha mabo.Huyo Wanaohusika kutengeneza hizo kaulimbiu tafadhali fanyeni hima

Ni mtazamo wako, ila kina mama bado sana. Piganeni, msisubiri vya kupewa. Sijui uliangalia lile bunge walilokuwa wanajadili ishu ya Escrow account?
 
hv kwanin wanawake hawakuwa wakihesabiwa kipindi cha yesu na mtume hii kitu huwa inanichangany au ilikuwa na maana yake
 
aiss wapuu.zi wale wanaweza fanya hivyo tena ujue...

Hiyo kauli mbiu ikitoka UKAWA watakosa mgombea na itakuwa vigumu kuipinga, CCM wanaweza kutoa hiyo kauli mbiu wakiona maji ya shingo ukawa watastukizwa .Kikwete fundi sana wa mikakati.Utasikia 50 kwa 50 na tumeona Migiro atafaa.Ukawa chali
 
Unaelewa usemacho? Hizo kauli ni ndani ya CCM sasa zinauhusiano gani na Ukawa? Au unadhani maamuzi ya Lumumba ndio katiba? Nimekumbuka swali la FaizaFoxy aliuliza hivi huko shule mnaenda kusoma nini?
 
Last edited by a moderator:
Ngoja watengenezaji wa kauli mbiu wamalize kazi yao uchaguzi utakuwa umeisha itabaki kusimika raisi.UKAWA hawana mgombea mwanamama hapo ndipo kuna chllange
 
Kwavile wewe unavuta bangi unadhani kila mtu anavuta we kipusa kweli hizo bangi zenu hazitawasaidia kitu kwenye ujenzi wa jamii mpya.

Mh Asumpta ana ushawishi mkubwa na anakubaika.Ni kongozi pekee ambaye ambaye daima amekuwa akikemea vitendo vya kifisadi bila ya woga.
 
Back
Top Bottom