Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Dah ...nakumbuka Kuna dem Mmoja nlimzungukia Sana Yan Sana Alikua mteja wangu. Nilipata Sana tabu kumuingiza 18 basi bhana nikaamua nimpotezee... Siku nimekaa nikakuta SMS asubuh "I love you" kutoka kwake ...sikuchelewesha nikapiga CM nikauliza are you serious akasema yes... Bas nikawa nachakata Sana Yan Sana.. After three weeks naamka asubuh Nakuta text "let's end this relationship " sikujibu mpaka Leo kikubwa napumua tu
Iliisha kama ilivoanza
 
Hahahahahah
Noma sana.
Mimi nimeachwa last week siku ya Valentine's. Binti yupo mkoani mimi nipo Dar, katuma picha ya gauni jekundu nimnunulie anataka kuvaa hyo siku ya Valentine anadai ni birthday ya rafiki yake. Nkagoma.
Nusu saa si nyingi zikaingia texts za kibuti. Ndo ntolee hadi leo.

Ng'ombe nyingine tumeachana jana asubuhi, huyu alikua ni just for sex na yeye alikua analijua hilo. Juzi usiku anasema anahisi ana mimba tumeenda kupima jana asubuhi kweli anayo, lakini kwa wiki za hyo mimba kipindi inatungwa mimi sikuonana nae kabisa, manake sio yangu. Nkambana kasema alimpelekea uchi ex wake eti ilikua birthday yake. Imebidi nijisogeze pembeni wapambane
HahahahahahahahaHahahahahahahahaha
 
Birthdays sio nzuri kwako!
 
Mimi Kuna manzi mmoja aliniacha kimasihara Sana. Yaani siku iyo alinipigia simu nikamwelekeza nilipokuwa nagonga mtungi. Akaja na jamaa ambaye kwangu alikuwa NI mkubwa kidogo.
Basi wakajoin. Jamaa akawa anasimamia bill zote pale. Mwisho wa siku manzi akaniambia - ujue kawoli hii ndio itakuwa mwisho wa Mimi na wewe kunywa pamoja Kama hivi. Huyu hapa NI Mr T ndio mpenzi wangu mpya nimeona Bora nikutambulishe ili tuachane kwa amani.
Nikaumuuliza tu yule manzi kama Kuna tatizo lolote labda, akajibu Hakuna. Nikamuuliza na Mr T Kama anampenda jwa dhati yule manzi, akajibu Sanaa.

Nikamwambia manzi awe na amani ila Mimi nitakaa Kama miezi sita hivi ndio nitaangalia uwezekano wa kuwa na mahusiano mengine. Ikawa tumeishia hivyo.
Walivokuwa wanaingia kwenye ndinga ya jamaa ili wasepe nikafanya ukauzu kidogo, nikawauliza Sasa mnaniachaje achaje hapa maana ndio kwanza kunaanza kuchangamka.
Basi Mr T kwa mbwembwe akanifata na kunishikisha lakimoja na akaniambia, I have never meet such a nigga in my entire life. Nikamwambia be blessed coz u are lucky to meet me today.
Wakasepa. Ile laki nikaichana yote pale pale na wahuhudumu wa bar. Nikawa Mimi ndio doni.
Nikaja kuonana nae after couple of years akiwa tayari ameshaolewa lkn na mwanaume nwingine sio Mr T, na mm nikiwa kwenye pilika pilika za kuoa. Sikutaka hata kuuliza waliishia wapi kwenye mahusiano yao. Akanichangia elfu70. Maisha yakasonga.
Underdog
 
Mi niliacha kimasihara na beby wangu mpk leo bado nampenda ,

Ujinga ulikuwa wangu kuna maneno ya chumban niliyatoa nikasimulia mashoga zangu mtaaani

Basi alivyoyasikia wala hakuniuliza alichofanya ....akasubirj nimemaliza kula , tukaenda kuoga , akanigonga na kimoja tukarudi citing room

Akaniambia beby kuanzia leo mm na ww bac its over tabia yako nimekuonya lakini hutaki kuziacha kweli kwa kipindi kile nilikuwa na tabia za uwongo uwongo

Yaani sikuamini alinifukuza nikagoma kutoka akaniwasha vibao ndio nikajua kuwa yupo serious , nilichezea vitasa nikajikuta nimetoka ndani akanionea huruma

Akwasha gari yake mpk gheton kwangu sikuamini yaani akanisindikiza mpk ndani na maji ya kunywa akaniomba nikampa akanywa akasema maisha mema nilioma kama ndoto

Nililiiia nakumbuka ndio naujauzito wake mchanga , jamaa alikuwa haaamini kbs km nina ujauzito kutoka na tabia za kumdanganya mambo mengi

Mpk niliugua haipertension , ujauzito ukatoka !! Nikabaki kuwa naonana naye kazini

Mpk sasa nampenda japo yupo relation nyingine ila natamani sana abadili msimamo na mawazo yake , sikuwah kupata mwaume kama D wangu

Sio hekima ,busara,kutunza anajali kwenye game ndio usiseme mpk kiu ya maji inakukamata

Najilaumu sana ila ndiyo imetokea japo huwa na mmmisi sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mwanaume hadi kakupig ila bado wewe upo tu? Kitu ambacho sitakuja kukifanya ni kupiga mwanamke
 
Niliacha mtu aliyekuwa ananiposa nikadai ilikuwa kimasiara ili nipewe fulsa sema hiyo fulsa haikukubalika tena kuipewa mimi .
When you want to leave someone don't show him you are true colour we kaa kimya tu ili uangalie na huku kupya kutakuwaje??
Maana unaweza kosa kotee.
 
Siku ya tatu leo naona hapa nimeshakula kibuti. Huyu dada nafanya nae kazi baada ya janga la Corona Kuna wafanyakazi walipewa likizo wengine tumebaki tunapiga kazi.

Nimechukua zangu likizo ya wiki mbili niende home naona mtu Kama amepungua mawasiliano na mimi. Najaribu kumuuliza shida kitu gani anasema kuna siku ataniambia. Mimi nikaona nikae kimya labda ataanza kunitafuta but wajuba navyoongea hapa ndo naona yupo kimya mazima nami nimetulia japo naumia skwa ndani. Najua hapa sina changu.

Kinachoniumiza ntawezaje kuishi pale kazini na yeye pindi ataporudi maana yupo karibu kurudi.
 
Daaaaah! Uzi huu umenikumbusha kitambo mno,,,,baada yakupigana na mdume mwenzangu kwakumuona anamfatilia xana manziyangu"""basi tulifumuana kinyama ila mwisho wapicha tukapelekwa kwamjumbe**mjumbe alifanya uwamuzi wakumuita manzi ili aamuwe ile kesi kwaulahisi ili yeye mjumbe asiumize kichwa,,,,,bhana weeeee manzi kaitwa front aeleze nani true boy wake siakamtaja yule mdume mwenzangu kuwa ndo true boy wake, kwaiyo mm nikaonekana,tokea hapo nikaapa kutokuja kufanya tena ushujaa kama huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
dah
 
Me: hey love, morning!
Her: Hammy, naomba leo iwe mwisho kuwasiliana. Nimepata mtu hapa job na tunapendana sana. Naomba usinitafute tena.
Me: sawa, ukinihitaji nipo.
Her: never.
Me: okay

After 3 weeks
Her: hammy mpnz
Me: ......
Her: I am sorry
Me: .....

4th week
Her: hammy naomba unisamehe hata kama haunitaki, najua nlikuumiza. Pls
Me: okay
Hivi ndivyo wanaume wote tunatakiwa kuwa.
 
X:"Namge naomba tuachane..."
Me: Hahahaaaa..u can't be serious! Why love.
X:we ni mpole Sana... I love rude boy and yo ain't that person.. I don't feel like
Me: like seriously..
X: yeah just try to understand..
Kama masihara.. aseeee upole ukaniponza..
When u truly love..
Miaka imesonga Leo huwa ananiona dhahabu..she regrets and it's too late.
 
JF ya sasa inakera kama nini, unascrol page moja tu comments zingine hazionekani. Kama mnataka kuifunga si muifunge tu tujue imeisha
Lawama za nini na unaweza kurudi kwenye ile ya zamani? Au hujui hilo?cheki pale chini..
 
Siku ya tatu leo naona hapa nimeshakula kibuti. Huyu dada nafanya nae kazi baada ya janga la Corona Kuna wafanyakazi walipewa likizo wengine tumebaki tunapiga kazi.

Nimechukua zangu likizo ya wiki mbili niende home naona mtu Kama amepungua mawasiliano na mimi. Najaribu kumuuliza shida kitu gani anasema kuna siku ataniambia. Mimi nikaona nikae kimya labda ataanza kunitafuta but wajuba navyoongea hapa ndo naona yupo kimya mazima nami nimetulia japo naumia skwa ndani. Najua hapa sina changu.

Kinachoniumiza ntawezaje kuishi pale kazini na yeye pindi ataporudi maana yupo karibu kurudi.
Hiyo imeshakuwa chakula ya wakubwa, achana nae jombaaa usipoteze mda, mmwanaume ni pamoja na kuvumilia mikikimikiki kama hiyo.
 
Daaaaah! Uzi huu umenikumbusha kitambo mno,,,,baada yakupigana na mdume mwenzangu kwakumuona anamfatilia xana manziyangu"""basi tulifumuana kinyama ila mwisho wapicha tukapelekwa kwamjumbe**mjumbe alifanya uwamuzi wakumuita manzi ili aamuwe ile kesi kwaulahisi ili yeye mjumbe asiumize kichwa,,,,,bhana weeeee manzi kaitwa front aeleze nani true boy wake siakamtaja yule mdume mwenzangu kuwa ndo true boy wake, kwaiyo mm nikaonekana,tokea hapo nikaapa kutokuja kufanya tena ushujaa kama huo.

Sent using Jamii Forums mobile app
Uwiiiiiiiiii jamani pooe sana

Sent from my SM-T800 using JamiiForums mobile app
 
mimi nilipigiwa cm tena siku ya krismas nikaambiwa kuanzia leo mm na ww basi hufai kuwa mwanaume wangu kuuliza sababu nikapewa kuwa sijali wala kutamfuta mara kwa mara basi nikamwambie mama amna shida maisha mema mungu akubaliki nikafuta na namba cha aajabu saiv ananitafuta tena nilicho mwambia endelee na maisha yako never turn back behind is to dangerous for you , you cant watch my movement now
 
Basi karibuni nimeachika. Acheni kabisa. Nilidata karibu two weeks. Kuachwa kunauma hasa kama ulipenda kweli. Yule kaka wa Kicongo aliniweza sana wallah. Alinifanya mpaka niache sehemu niliyokua naipenda aliponipeleka ili tu nisimuone.

Nimepona kidogo, sijui nikikutana nae tena nitajisikiaje.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom