Kama ushawahi kuachwa kihivi, njoo utupe mkasa

Sikumbuki kuachwa au kuacha najiandaa kabla sijaingia

Siku za mwanzo huwa ngumu...baada ya week 1 kila kitu huwa sawa

Mara nyingi nikiacha nakuwa kimya sijibu sms wala sipokei simu, pia nakuwa kimya sitaki kumpa credit haswa nikiwa nimemla

Sikubali kuachwa kama sijamla ntabembeleza ata kama kakosea yeye lengo nimle kwanza

Nishaachwa karibia mara 3 ila niliomba msamaha kama mtoto lengo nimle kwanza

Nilimla, nikawa nasubiri neno kuniacha, alijichanganya akasema tuachane nikamwambia ndo nilichokuwa nasubiri akuona text wala simu wala kuomba msamaha

Sent using Jamii Forums mobile app

Mhmm kwa uachwaji huu nahisi una shoo mbovu sana


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Hivi visa bwana vinaumiza sana....mimi ninamwaka sasa toka wife aseme hanikubali,sina hadhi na yeye,ni mke wangu wa ndoa nimeishi nae miaka 13 na ninawatoto 3 ivi sasa ameanza taratibu za talaka ameniachia watoto 3 nasubiri kitakacho jiri.

Sent using Jamii Forums mobile app
Sàsa vijana tunajifunza kwamba ndoa weka mbali na maisha kabisa...eh unatuambia nn vijana bosi??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Noma sana.
Mimi nimeachwa last week siku ya Valentine's. Binti yupo mkoani mimi nipo Dar, katuma picha ya gauni jekundu nimnunulie anataka kuvaa hyo siku ya Valentine anadai ni birthday ya rafiki yake. Nkagoma.
Nusu saa si nyingi zikaingia texts za kibuti. Ndo ntolee hadi leo.

Ng'ombe nyingine tumeachana jana asubuhi, huyu alikua ni just for sex na yeye alikua analijua hilo. Juzi usiku anasema anahisi ana mimba tumeenda kupima jana asubuhi kweli anayo, lakini kwa wiki za hyo mimba kipindi inatungwa mimi sikuonana nae kabisa, manake sio yangu. Nkambana kasema alimpelekea uchi ex wake eti ilikua birthday yake. Imebidi nijisogeze pembeni wapambane
 
Noma sana.
Mimi nimeachwa last week siku ya Valentine's. Binti yupo mkoani mimi nipo Dar, katuma picha ya gauni jekundu nimnunulie anataka kuvaa hyo siku ya Valentine anadai ni birthday ya rafiki yake. Nkagoma.
Nusu saa si nyingi zikaingia texts za kibuti. Ndo ntolee hadi leo.

Ng'ombe nyingine tumeachana jana asubuhi, huyu alikua ni just for sex na yeye alikua analijua hilo. Juzi usiku anasema anahisi ana mimba tumeenda kupima jana asubuhi kweli anayo, lakini kwa wiki za hyo mimba kipindi inatungwa mimi sikuonana nae kabisa, manake sio yangu. Nkambana kasema alimpelekea uchi ex wake eti ilikua birthday yake. Imebidi nijisogeze pembeni wapambane
Hahahahhhhhahaha wanaume ni haki tuwah kufa tunapitia magumu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mm nimewahi lakn nilipigiwa simu sema,niliuliza sababu nikapewa nikaelewa ckuwahi mtafuta tena bali yy alikuwa akinitafuta nikapata jibu always woman want result not performance in life,they think of good people who can accomplish their dream,not accomplish together to achieve the dream so to be honest tuaendelea umizana kama atutoweka lengo kwa pamoja kama wapenzi pia nafikili na technologia naye inatukimbiza sana na change of life in any circumstances..
 
Hata muda wa kujibu huwa sina kabisa.....
Kuna mwanamke aliwahi kuniandikia message ya hivyo aisee! Ile nimemaliza kuisoma tu, nikavuta pumzi ndefu nikatulia.

Nikampigia simu, nikamuuliza hii message ni ya kwangu au imekosewa kutumwa? Akajibu ni ya kwako. Nikakata na simu bila kuongeza neno. Sikupenda kubembeleza maamuzi yake wala kudadisi.

Baada ya siku nne, nilishangaa kuona sms nyingi za kuomba msamaha, sikujibu hata moja. Alipiga simu kibao na sikupokea kabisa. Nilimfowadia ile sms ya kuachana nikaongeza na sms moja tu " Nimeshapata mwingine ".

Alipokuja kuonana nami, nilimwambia 'usivunje mapenzi na mtu wako kwa ahadi za bwana mpya'. Wengine hatuumii kwa kuachwa bali tunasikitika tena kidogo tu.
Japokuwa tulikuwa tunakulana ila penzi halikunoga tena. Maana sikumuamini tena hata 20%

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Safi sana, tunafanana kimtindo.....
Mimi Kuna manzi mmoja aliniacha kimasihara Sana. Yaani siku iyo alinipigia simu nikamwelekeza nilipokuwa nagonga mtungi. Akaja na jamaa ambaye kwangu alikuwa NI mkubwa kidogo.
Basi wakajoin. Jamaa akawa anasimamia bill zote pale. Mwisho wa siku manzi akaniambia - ujue kawoli hii ndio itakuwa mwisho wa Mimi na wewe kunywa pamoja Kama hivi. Huyu hapa NI Mr T ndio mpenzi wangu mpya nimeona Bora nikutambulishe ili tuachane kwa amani.
Nikaumuuliza tu yule manzi kama Kuna tatizo lolote labda, akajibu Hakuna. Nikamuuliza na Mr T Kama anampenda jwa dhati yule manzi, akajibu Sanaa.

Nikamwambia manzi awe na amani ila Mimi nitakaa Kama miezi sita hivi ndio nitaangalia uwezekano wa kuwa na mahusiano mengine. Ikawa tumeishia hivyo.
Walivokuwa wanaingia kwenye ndinga ya jamaa ili wasepe nikafanya ukauzu kidogo, nikawauliza Sasa mnaniachaje achaje hapa maana ndio kwanza kunaanza kuchangamka.
Basi Mr T kwa mbwembwe akanifata na kunishikisha lakimoja na akaniambia, I have never meet such a nigga in my entire life. Nikamwambia be blessed coz u are lucky to meet me today.
Wakasepa. Ile laki nikaichana yote pale pale na wahuhudumu wa bar. Nikawa Mimi ndio doni.
Nikaja kuonana nae after couple of years akiwa tayari ameshaolewa lkn na mwanaume nwingine sio Mr T, na mm nikiwa kwenye pilika pilika za kuoa. Sikutaka hata kuuliza waliishia wapi kwenye mahusiano yao. Akanichangia elfu70. Maisha yakasonga.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilipo kuwa chuo niliachwa kwa sms, nakumbuka ilikua mida ya saa12 jioni, Mara sms ikaingia, kusoma naona risala ndefu yakuachwa bila sababu yoyote, mwishoni anaandika eti usichukue maamuzi mabaya. Nilicheka moyonj nikasema huyu hanijui Mimi. Basi sikuwaambia hata room mates wangu, nilichofanya nilibeba madesa yangu nakuelekea seminar rooms kusoma, nikasema nikienda library naweza kuonana nae. Room mates walienda library, akawafata nakuwauliza , mbona mmemwa cha mwenzenu peke yake je ! akifanya jambo baya la kujidhuru?, wakamuuliza kwani kafanya nini? akajibu nimemwacha. Wakabaki wanashangaa , wakamwabia mbona hayupo room ameenda kusoma, alivyo sikia vile hakuamini ilibidi anitafute , ahakikishe, alinikuta napiga kitabu na niko norm. Akabaki anashangaa, tukapiga story mbili tatu, wala sikumgusia kuhusu kiniacha. Yaani nilikua na hasira moyoni, na hasira yangu iliishia kwenye kitabu, nahivi tulikua tunajiandaa na UE. Matokeo yalipo toka nilipiga balaa kuliko mitihani yote, yeye akapata sup 3, wale wenzangu nao wakawa na sup za kutosha. Alipoona matokeo yangu hakuamini, akanipigia na kusema hakufikiria kama nitafaulu vile alijua nitadisco .Tukabakia marafiki tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Matokeo ya chuo mtu mwingine anayaonaje

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndo maana mimi napenda single mothers. Hakuna kuachwa, ni kuacha tu. Zaidi ya hapo ni wake za watu.
dah mimi wangu,alitokea tu akanambia jerry mimi na wewe basi,kuna business nlikuwa nafanya nkamwambia sababu?hakujibu nkazama tu tgo pesa nkampa kama laki 8,maana alikuwa anauza tuviatu na mikoba baada ya hapo sikumtafuta mpka leo,baada ya miaka 5 majuzi ndo anantext whatsapp akachezea tu block,amepiga nkaongea nae then akala block ya 2, inshort mwanamke akishanambia tu mimi na ww basi huwaga sibadili maamuzi na nimiachaga mtu kurudia siwezagi kabisaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom