nandembako
JF-Expert Member
- Jun 16, 2013
- 654
- 523
Kama upo njombe tutafutane na tusalimiane,wanasema kukutana na watu wapya inaongeza wigo wa uelewa,kama haitoshi ni uungwana sana kwa mila na desturi za watanzania wengi!
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums