Kama upo mtaani muda mrefu bila kazi, tatizo ni wewe!

Pole mzee... unataka kulala ndani ukisubiri kudra au riziki?
Nyie ndio wazee wa kumlaumu Mungu na kumuona mbaguzi kumbe ni uzembe wako tu.

Ushaambiwa dunia ya kibepari endelea kutia huruma kama hujaona kila mtu mbaya machoni kwako
Nimegundua ikiwa wewe unaendelea kumtumainia Mungu akuvushe bahari ya sham kwa miujiza yake wanzako wanavuka kwa kutumia ndumba za Misri
 
Nimegundua ikiwa wewe unaendelea kumtumainia Mungu akuvushe bahari ya sham kwa miujiza yake wanzako wanavuka kwa kutumia ndumba za Misri
Sio ndumba wengine wanaogelea ilimradi wafike ww endelea kulala na kuomba
 
N aibu kijana kushindwa kutengeneza connection mtu unakuta anakaa mtaa mmoja na mbunge, Diwani au bos wa taass yyte ile ukimuulza vipi mbn unaishi na watu wa connections mbn uko nyuma atakwambia aanh mtu mwenyewe anajisikia mara ooh ana roho mbaya ooh mara mm siwez mshobokea,,, mtake msitake vijana shobo katika waliokuzd kipato sio dhambi, mtu anakaa mtaan ata mwenyekit wa mtaa anashindwa kuwa Connected nae!!

Connection ndio kla kit sasa hv ukiwa huna connections utaishia kulialia kla siku

Ipo siku ntaeleza namna nilivyotengeneza connections na Mheshimiwa waziri fulani kipindi cha uchaguz tena kupitia tu social media zangu mpaka nikapata kazi ya maana nisioitegemea kupitia yeye na ajabu kipind natengeneza connection marafiki zang walinicheka na kunikatisha tamaa balaaa walinipa kla aina ya matusi mara nashobokwa, mara najipendekeza lkn kichwan kwangu nlkuwa nawaza tu ntafanya kla liwalo mpk npate fursa kupitia huyu waziri, ila baada ya kutusua sasa wanataka niwabebe yalivyo mafala.
Chai
 
Siingiagi sana huku jukwaa la ajira lakini leo nimepitia post nyingi sana na nimesoma comments mbalimbali za watu.

Nachotaka nikwambie tu wewe unaeangaika muda mrefu kutafuta kazi na hupati tatizo sio mtu mwingine yoyote tatizo ni wewe mwenyewe.

Yes tatizo ni wewe, japo wengi hatupendi kukubali huu ukweli kwamba tuna mapungufu upande wetu siku zote tunapenda kutafuta mtu wa kumbebesha mizigo yetu ya lawama.

Vijana wengi tunapenda kulaumu na tukishadanganywa na wajanja haswa wanasiasa basi ndio tunarelax kabisa tukiamini kuna mtu ndio tatizo ndio maana hatutoboi.

Mimi binafsi sinaga time ya kulaumu mtu na imenisaidia sana. Nachukulia almost kila kitu positively.

Ili upate ajira tena nzuri unahitaji vitu vitatu.

1. Skills
2. Connection
3. Confidence au uthubutu.

Kabla ya kumlaumu mtu au kulalamika January mpaka December, jiulize umeshafanya lolote kuwa na hivyo vitu vitatu?

Je ukiitwa kwenye interview wanayohitaji watu wenye uwezo unaweza kuwashinda wenzako?

Unaweza kuandika CV na cover letter inayoweza kukuuza?
Unaweza kujibu vizuri maswali ya kwenye interview?

Una skills ambazo zinahitajika au zinazoweza kukutofautisha na degree holders wenzako?
Ukipata kazi unaweza kuleta results ?

Kabla haujapeleka lawama popote pale anza na wewe.

Lazima ujifunze tuko dunia ya kibepari hakuna wa kukuonea huruma hata ukitia huruma.

Kila mtu na maisha yake usitake watu wapiganie maisha yako wakati umekaa kizembe tu kama fala flani.
Mkuu tangu upost huu uzi maisha yamekuaje? Did post kinda same thread few months back within a week kampuni ikatangaza inafilisika.
 
Mkuu tangu upost huu uzi maisha yamekuaje? Did post kinda same thread few months back within a week kampuni ikatangaza inafilisika.
Aisee....kwamba kuna baadhi ya post zinaleta nuksi ?
 
Back
Top Bottom