Kama upo kwenye hili jukwaa zaidi ya mwaka na unateswa na mapenzi wewe ni zuzu

Singasinga

JF-Expert Member
Aug 27, 2011
2,649
3,162
Habari wakuu

Kiukweli kabisa kama kuna mdau yupo humu zaidi ya mwaka na bado anateswa na mapenzi basi huyo ni zuzu, Maana humu kuna mbinu zote za kila changamoto ya kimahusiano yawe ya kawaida, uchumba au ndoa.

Huwa nasikiliza Clouds FM kipindi cha ala za roho yani kuna watu wanateseka kiboya sana wakati huo nikiangalia majibu yote yapo humu.

Kama umo humu zaidi ya mwaka na bado mapenzi yanakusumbua wewe nii...
 
Unaweza ukawa unajua mbinu zote, ila usiombe ukakolea kwa mtoto wa mtu.

Wanaoteseka usifikiri wajinga au hawaelewi kitu. Tatizo moyo mkuu.
Uko sawa lakini ukichagua kushindwa ni wewe tu ila mbinu zote zipo za wewe kusurvive
 
Maumivu yapo hiyo haikwepeki. Ila mbinu za maamuzi zote zimo humu.
Tatizo sio hizo mbinu, tatizo watu tunatofautiana namna ya kuhimili ayo maumivu na hapo ndipo inapo kuja swala la mda mtu aochukua kujiponya ayo maumivu. Kwaiyo hizo mbinu kuna watu zitachukua mda mfupi kuwaponya na kuna watu zitachukua mda mrefu pia
 
Nimejifunza mbinu nyingi za kupambana na changamoto za kimahusiano na najihisi kama commando hivi
Mbinu hizo ni zipi, toa notic kwa ufupi sio kuongea, maana sio kila mtu ataona kila uzi unaopostiwa.

Ongea kuwa kuna hili hili na hili huenda ukawa wewe ndiye umewabadirisha au umetubadirisha kwa kuweka summary.

Asante kwa hilo
 
Habari wakuu

Kiukweli kabisa kama kuna mdau yupo humu zaidi ya mwaka na bado anateswa na mapenzi basi huyo ni zuzu, Maana humu kuna mbinu zote za kila changamoto ya kimahusiano yawe ya kawaida, uchumba au ndoa.

Huwa nasikiliza Clouds FM kipindi cha ala za roho yani kuna watu wanateseka kiboya sana wakati huo nikiangalia majibu yote yapo humu.

Kama umo humu zaidi ya mwaka na bado mapenzi yanakusumbua wewe nii...
Yaani unakuwa Zuzu kweli kama yule Jobo wa Kongwa vile!
 
Back
Top Bottom