Kama ungepewa urais ungeanza wapi kunyanyua hali za wananchi?

Ni sawa..Kama Ilivyo sasa!!...
Yupo JK Mfano!!.wengine wapo mitaani wenye uwezo kama yeye au hata zaidi...Lakini wapo mitaani...labda Hawajiamini ..au hawapendi kuwa Ma-Raisi...

Wapo wachoyo kama wewe.. na wapo wanao penda maendeleo ya nchi yao Kama mimi...or (kinyumechake ni kweli..)...

Hofu yako ndio Laana yako..sema uliyo nayo Itawasaidia watakao baki Hata ukifa..wakati huu tulio nao hatupaswi Ku wa wachoyo wa fikra..kama una mawazo sema..Inawezekana Ukawa Mtaalamu wa kufikiria Lakini sio Mtaalamu wa kutenda..

Raisi sio Yeye peke yake Ile ni Taa sisi..
 
kuwa rais haimaanishi wewe ndio ufanye. kumbuka maendeleo ya nchi huletwa na mwananchi.... hivyo tusibweteke na kuona kuwa rais ndio ufanye maendeleo yanchi. rais kazi yake ni kumaliza na kusukuma yale yaloanza na kushindikana kiuchumi ama kimawazo, na yeye kazi yake ni kukaa na wataalamu waliobobea.

We Mtoto..Kumbuka Hata RAISI Ni MWANANCHI
Ka kojoe Ulale kesho hasubuhi....Uje na post Nyingine..sawa?
 
Huu ndio wakati muafaka ...maswali haya yangeelekezwa kwa wagombea wa sasa

Kama utachaguliwa Uraisi utaanza wapi kunyanyua hali za wananchi?

DK. Slaa?
J.K?
 
It comprises with a lot of blah blah ....We will reach no where,
unless we accept that the proper input here is you !....Whoever you are....at all level.....If you want it that way, from the top echelon to the lowest ,whichever side...awe mpinzani au mtawala !......Kitu cha kwanza tuwe waaminifu kwa Tanzania,sinyambulishi hili,and then tuchape kazi kwa bidii, for the sake of Tanzania...Tutawafikia Wachina or whoever is yonder !
Tupunguze kupiga domo...bali tugeuze rasilimali zilizopo kuwa utajirii kwa Tanzania......Mind u Hata mijasho nayo ni rasilimali.Tuweke Malengo ya siku...... halafu Mwisho wa siku tushanglie mafanikio.Daima Tukwepe Ubabaishaji,upotoshaji,utapeli,kupiga domo,ukiritimba,ubinafsi na mengi mengineyo ya aina hiyo.... Kazi kwanza Bwanaaaa.
DEMOKRASI YA UKWELI AFRIKA NI KUCHAPA KAZI KWA BIDII!!!!!!!
 
Ningeanza na mpango kazi (action plan) - lipi linaanza kufanywa na lipi linafuata na lini na nani atatekeleza.
 
ningeanza kuangamiza/kuuwa watawala wote walioipotezea tanzania uelekeo.
 
Baba wa taifa alishaweka vipaumbele vya kutekeleza. Alisema kuwa maadui wa3 wafanyiwe kazi; ujinga, maradhi na umasikini. Akasema kuwa ili taifa liendelee linahitaji vitu vi4; watu, ardhi, siasa safi na uongozi bora. Kama haitoshi akatoa na mwongozo wa namna ya kuyafikia haya; Azimio la Arusha. Hivyo mtu yoyote anajua pa kuanzia-ujinga. Nashangaa jk anaposema hajui tatizo la tz
 
Back
Top Bottom