Kama ungepewa leo uraisi ewe mwana JF ungekuwa na sera gani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ungepewa leo uraisi ewe mwana JF ungekuwa na sera gani?

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by nitonye, Dec 27, 2011.

 1. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #1
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Namini asilimia kubwa ya waJF ni wapiganaji walioko mwituni katika nchi yetu hii iliyojaa machungu na mateso kila siku. Kama ingetokea ukapewa nafasi ya kugombea au ya kuwa raisi ungekuja na sera zipi. Nawasilisha
   
 2. GAZETI

  GAZETI JF-Expert Member

  #2
  Dec 27, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 3,533
  Likes Received: 1,021
  Trophy Points: 280
  1. Mafisadi wote ndani ya serikali yangu watahukumiwa Kifo
   
 3. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #3
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  sheria msumeno
   
 4. nitonye

  nitonye JF-Expert Member

  #4
  Dec 27, 2011
  Joined: Dec 18, 2011
  Messages: 7,167
  Likes Received: 508
  Trophy Points: 280
  Wewe huogopi kukatwa na huo msumeno
   
 5. Graph Theory

  Graph Theory JF-Expert Member

  #5
  Dec 27, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 1,118
  Trophy Points: 280
  Napiga risasi mbili mbili za kichwa kwa kila aliyeiibia inji hii.
   
 6. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #6
  Dec 27, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Najijengea bonge la jumba pale WASHINGTON DC then watz ndo ntawafikiria
   
 7. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #7
  Dec 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  • katiba mpya
  • tumehuru ya uchaguzi utawala wa sheria
  • utawala wa demokrasia
  • mikataba mipya ya migodi
  • kufuta tax holiday
  • kureplace vx na suzuki
  • uteuzi wa wakuu wa idara nyeti kuthibitishwa na bunge
  • kupunguza wizara
  • kufuta ruzuku za vyama
  • adhabu kali kwa rushwa
  • elimu ya uraia
  • kuimarisha elimu na afya
  • kusimamiakilimo na uvuvi
  • kufufua na kuimarisha reli
  • kuimarisha bandari
  • kuimarisha tanesco
  • kureform tourism
  • kurudisha nyumba nyeti za govt
  • kureform tanzania police force
  • kuondoa kero za muungano
  • kufuta rc's na dc's
  • kufuta chaguzi ndogo
  • kufuta viti maalum
  • ukiwa waziri ubunge unakoma
  • kuboresha qualification za ubunge
  • kuimarisha huduma za maji
  • incetive kwa kazi za wito
   
 8. trachomatis

  trachomatis JF-Expert Member

  #8
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 7, 2011
  Messages: 3,653
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Nitatumia mahakama kuprove wote walioliibia Taifa. Nitapunguza matumizi yasiyo ya lazima,kuanzia marais wenzangu wastaafu,mimi mwenyewe,mawaziri,kushuka,hadi ngazi ya tarafa! Magari,posho,nitavilima. Ntaweka katika katiba ukomo wa madaraka,posho kwa viongozi na viongozi wastaafu,katika katiba ntaweka wizara za kudumu,si kila rais atakayekuja baada yangu aongezeongeze,katika katiba pia ntaweka kipengele cha kila wilaya na halmashauri asilimia 50 ya wanachozalisha kibaki kwenye halmashauri husika,zile halmashauri chovu itatafutwa mbinu nyingine kuzisaidia... Mfano kuna h'shauri kama Tandahimba huko Mtwara inashindana na manispaa ya Ilala kwa mapato kila mwaka lakini yenyewe inakaa kichovu! [huwa top three kila mwaka,wana zao la biashara la korosho]Katika siku 100 za mwanzo ntafanya hayo. Mengine yatafuata.
   
 9. mpoleeee

  mpoleeee JF-Expert Member

  #9
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 11, 2011
  Messages: 310
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  face book ifungwe.
   
 10. Inkoskaz

  Inkoskaz JF-Expert Member

  #10
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 6,317
  Likes Received: 438
  Trophy Points: 180
  Duh! baba ,mama,watoto wote facebook! hatari
   
 11. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #11
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  nitaanda ratiba ya kusafiri dunia nzima na kubembea kimataifa
  nitanunua vitu vya madizaina tu
  nitapiga dili za kufa mtu
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Dec 28, 2011
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  NITAFILISI VIGOGO WOTE WA SERIKALI (*) J.k na genge lake wataenda jela (*)
   
 13. Mr.mzumbe

  Mr.mzumbe JF-Expert Member

  #13
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 11, 2011
  Messages: 801
  Likes Received: 170
  Trophy Points: 60
  Mitihani yote nitafuta,ukianza darasa la kwanza lazima ufike chuo labda ufe.
   
 14. Mfamaji

  Mfamaji JF-Expert Member

  #14
  Dec 28, 2011
  Joined: Nov 6, 2007
  Messages: 6,523
  Likes Received: 556
  Trophy Points: 280
  Nafanya a complete overhaul ya nchi. Vijana wataongoza nchi
   
 15. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #15
  Dec 28, 2011
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 302
  Trophy Points: 160
  Kwani vijana wanaishi nchi gani?
  Labda uwatoe watz wote ulete wayugoslavia

   
 16. Consigliere

  Consigliere JF-Expert Member

  #16
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 8,046
  Likes Received: 7,500
  Trophy Points: 280
  Nitaanza kwa kushughhulika na mambo matatu ambayo naamini ndiyo eyes, brain na muscles ya nchi:

  Nitafanya maboresho makubwa jeshini, pia nitasimamia uanzishwaji wa Police service ili tuwe na Police force and service.

  Nitavunja idara ya usalama wa Taifa na kuiunda upya ili tendaji uwe huru na usioathiliwa na politicians interests, bali maslahi ya taifa na utaifa mbele.

  Kubadili mfumo wa elimu ili uendane na mahitaji halisi ya kinyakati, na changamoto tulizonazo na kuwaandaa wahitimu kuyakabili maisha popote kwa kutumia taaluma zao, badala ya ilivyo sasa ambapo elimu waliyonayo inawajengea hofu na kukimbilia mijini kutafuta kuajiriwa.
  Ni hayo kwa uchache ila mengine yapo.
   
 17. D

  Du Bois Member

  #17
  Dec 28, 2011
  Joined: Sep 29, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ~Dictatorship government,
  ~Socialist economy is the best soln for Tanzania,
  ~Nationalization of all major means of production
   
 18. n

  ngararumo Senior Member

  #18
  Dec 28, 2011
  Joined: Oct 17, 2011
  Messages: 173
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 33
  kama ningekua raisi ningefanya yafuatayo...
  -kufufua viwanda vyote vilivyo kufa.mfano viwanda vya pale moshi,hii itasaidia kupunguza tatizo la ajira pia kupunguza reliance on imported goods.
  -kuvunja muungano baina ya tanzania na zanzibar,hii inaokana na kutofaidika na muungano na pia kutowanufaisha wazanzibar ambao huu mungano unawanyonya
  -kupunguza mishahara ya viongozi na kuongeza ile ya waalimu na madakari
   
 19. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #19
  Dec 28, 2011
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,471
  Likes Received: 1,472
  Trophy Points: 280
  mawaziri na manaibu waziri wote naweka wazungu.
   
Loading...