Kama ungelikuwa wewe mpenzi huyu utamuelewaje,nishauri. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama ungelikuwa wewe mpenzi huyu utamuelewaje,nishauri.

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by hayaland, Oct 14, 2012.

 1. hayaland

  hayaland JF-Expert Member

  #1
  Oct 14, 2012
  Joined: May 4, 2012
  Messages: 565
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 60
  :embarassed2:Nina mpenzi wangu wa kiume nampenda sana.ila nashindwa kumuelewa kabisa,ebu soma story hii baadae unipe ushauri wako wewe kama wewe.
  Mpenzi huyu nimekaa naye kimahusiano kwa mda usiopungua mwaka sasa,mpenzi huyu kwa kawaida uwa ananipigia simu mara moja kwa wiki au wakati mwingine hanipigii kabisa,nikimtumia ujumbe yaani massage hanijibu kabisa,ikitokea siku moja tukaamua kutoka pamoja kimatembezi nikiona kitu kizuri kama vile nguo,viatu na mengine ananinunulia bila shaka.akija nyumbani kwangu kulala kamwe hajishughulishi kabisa kunihitaji kimapenzi tukiwa kitandani,ikitokea akaja kazini kwangu akikuta naongea na mwanaume yeyote hasa wateja akiniuliza huyu ni nani namjibu kwamba ni mteja wangu akikutana naye huko mtaani ananiletea salam zake,akija kazini wakati mwingine akakuta sipo kazini anipigii simu kujua nimeenda wapi ila atakuja kusema baada ya wiki kuwa siku fulani nilikuja kazini sikukukuta na aulizi nilikuwa wapi.akija kazini tukimaliza salam anakaa kimya mpaka mda wa kuondoka,nikimlazimisha kutengeneza maongezi anajibu kwa mkato tu.mtu huyu hajaoa nami sijaolewa na ana mpango wa kunioa na kiukweli hana mchumba mwingine ila ana mtoto mmoja nje.
  Kama wewe huyu mtu angekuwa ni mpenzi wako ungefanyaje na ndoto yetu ni kuoana
  Nipe ushauri wako nina hakika utanisaidia.
   
 2. BADILI TABIA

  BADILI TABIA JF-Expert Member

  #2
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 13, 2011
  Messages: 30,876
  Likes Received: 6,230
  Trophy Points: 280
  hebu mchunguze vizuri huyo mwanaume.....

  Nitarudi baadae
   
 3. Purple

  Purple JF-Expert Member

  #3
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 9, 2012
  Messages: 2,031
  Likes Received: 228
  Trophy Points: 160
  Ndivyo alivyo kinachotakiwa ni wewe kumkubali kwa jinsi alivyo or just quit kama inakupa tabu sana, yuko serious and not charming at all,what a boring man?lol! Ila hapo pa kukupigia simu once per week pananipa tabu aisee ucje kuta mume wa m2 huyo.
   
 4. Scofied

  Scofied JF-Expert Member

  #4
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 5, 2012
  Messages: 2,026
  Likes Received: 200
  Trophy Points: 160
  mhm....napita tu...
   
 5. i

  iMind JF-Expert Member

  #5
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 1,908
  Likes Received: 425
  Trophy Points: 180
  Mtu huyu ni mgumu. Watu wa design hii ni vigumu kuishi nao maana hawaeleweki. Nilikuwa na roommate design hii chuo, life was terrible. Alikuwa akimfanyia gf wake the same way. Lakini at the end alimuoa..mvutie tu pumzi uone mwisho wake utakuwaje
   
 6. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #6
  Oct 14, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 305
  Trophy Points: 160
  mmmh, inawezekana kati ya haya

  kuna watu hawajaui la kuongea na watu sababu wakati akili zinatolewa walikuwa wamelala.

  Anataka kukuona for the sake ya kuoa tu ila hana feelings kwako kabisa, anajilazimisha fulani hivi.

  Changa la macho, ana mtu wake maalumu wewe ni snacks tu.
   
 7. Luno G

  Luno G JF-Expert Member

  #7
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 22, 2012
  Messages: 1,883
  Likes Received: 286
  Trophy Points: 180
  hizo tabia kaanza kukuonesha tangia kipindi cha nyuma ndani ya hiyo miaka saba au kaanza kukuonesha kipindi cha karibuni?

  kama ni tangia kipindi cha nyuma basi jua ndivyo alivyo sasa ni maamuzi yako je unaweza ukaishi na kauzu au lah!

  kama ameanza siku za karibuni(inawezekana ikawa ndani ya mwaka au vinginevyo) basi jua kuna kitu kilichomfanya abadirikie hivyo so ni vyema ukaanza kumchunguza lazima kutakuwa na jambo
   
 8. lara 1

  lara 1 JF-Expert Member

  #8
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 10, 2012
  Messages: 15,444
  Likes Received: 10,125
  Trophy Points: 280
  Huyo ni Gangsatr!!!! Hataki DRAMA DRAMA zisizo na malipo!!!! Ndo maana nafanya the necessecity!!! Ila ya nini ujibane!!!! hawa watu wanasumbua mpaka mwisho! FIND A PERSON WHO MAKES YOU HAPPY!!!
   
 9. Madame B

  Madame B JF-Expert Member

  #9
  Oct 14, 2012
  Joined: Apr 9, 2012
  Messages: 24,128
  Likes Received: 4,995
  Trophy Points: 280

  lara 1 ukute Anampenda ila Anampima matendo na Tabia zake mpaka Auone mwisho wake huyo mwanamke.

  Si unajua wabongo tena!!
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 10. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #10
  Oct 14, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,795
  Likes Received: 1,247
  Trophy Points: 280
  Mume huyu angekufaa sana...............
   
 11. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #11
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  huenda ana mtu pembeni anakutafutia sababu akuweke pembeni humvutii tena ila hana mbinu ya kukweleza so anatumia actions ili uanze ww kubreak up naye
   
 12. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #12
  Oct 14, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Kwako anakuja kulala ili iweje sasa km analala kama kafa.lol?Au amepungukiwa nguvu?
   
 13. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #13
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Jaribu kumchunguza kwani hata wewe ana kuchunguza bado!

  Kwa kiswhili rahisi ni kwamba hisia zake kwako bado ziko mbali.
   
 14. Jephta2003

  Jephta2003 JF-Expert Member

  #14
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 27, 2008
  Messages: 3,600
  Likes Received: 1,902
  Trophy Points: 280
  Mwanamme au mwanamke huwa anaumbwa kama unavyotaka,sasa ni kazi yako kumuumba aka kumtengeza unavyotaka wewe,so make him talk,kama hapigi simu basi wewe mpigie
   
 15. Columbus

  Columbus JF-Expert Member

  #15
  Oct 14, 2012
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 2,010
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Mimi niko kama huyo mpenzi wako.Sababu:Nimefikia kutaka kuoa najaribu kuwasoma wanawake sita ambapo nitapata mmoja. Sitaki kuwa nao kwa shurti yoyote ili niwajue walivyo kwa asili. Suala la ndoa ni nyeti sana najaribu kufanye uamuzi wa busara isije ikala kwangu.
   
 16. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #16
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  this kinda man mi nisingeweza kuishi nae manake si ntambore na navopenda mastory!ila watu wengine makauzu jamani yani kweli mpaka home ulale halafu bila bila!kwani mpo conventini?
   
 17. m

  mzabzab JF-Expert Member

  #17
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 18, 2011
  Messages: 6,981
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  mbwage tuu sasa mtu kuongea tabu sii sawa na kuwa na bubu tuu....alafu na game pia hamna...loh
   
 18. Nicole

  Nicole JF-Expert Member

  #18
  Oct 14, 2012
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 4,284
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  marriage ni life time commitment, wanasema as couples u need 2speak now and then kuweka mambo sawa, sasa kama mwanzon 2 yuko silent mkiishi 2 years itakuwaje?
   
 19. Ruttashobolwa

  Ruttashobolwa JF-Expert Member

  #19
  Oct 14, 2012
  Joined: Feb 22, 2012
  Messages: 43,748
  Likes Received: 12,842
  Trophy Points: 280
  Ume jaribu kujiulli za haya maswali?
  * alijaribu kumpigisha story akakataa?
  *alijaribu kumgusa aka mkataza au kukataa?

  Kwa nini yeye asijaribu kumbadilisha?

   
 20. snowhite

  snowhite JF-Expert Member

  #20
  Oct 14, 2012
  Joined: Aug 2, 2012
  Messages: 14,176
  Likes Received: 2,136
  Trophy Points: 280
  ''nikimtumia ujumbe yaani massage hanijibu kabisa,,nikimlazimisha kutengeneza maongezi anajibu kwa mkato tu''

   
Loading...