Kama unawaza kuajiriwa kwa sasa basi jua utakufa masikini | Tena utakufa na umasikini wa kujitakia

Sasa wote tukijiajiri hiyo nguvu ya manunuzi itatokea wapi. Jaribu kuwaza mzunguko wa pesa ulivyo pesa inatoka wapi inaenda wapi?!
 
Mtumishi wa umma sekta flani anachukua take home Tsh 900,000/= kwa mwezi yaani kwa siku anatengeneza net profit ya Tsh 30,000/=

Haya hebu tuambie ni biashara gani inakupa faida ya elfu thelathini kwa siku mfululizo kwa siku 30 na je hiyo biashara inahitaji mtaji kiasi gani
Kwani Bajaji wanampa kias gani boss?
 
Back
Top Bottom