kama unawatakia mema mafisadi ichagua CCM na Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kama unawatakia mema mafisadi ichagua CCM na Kikwete

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by KIDUNDULIMA, Oct 22, 2010.

 1. K

  KIDUNDULIMA JF-Expert Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Aug 18, 2010
  Messages: 775
  Likes Received: 56
  Trophy Points: 45
  Anaewatakia mema mafisadi tanzania hii achague CCM na Kikwete. mafisadi watapeta kwa kwenda mbele tena akina sie paku pakavu ndo tutaonja joto ya jiwe maana hata pale tunapotafutia maisha nako watabana ile mbaya. Kama wamepeta wakati wa miaka mitano ambayo alikuwa anajua kuwa atarudi kwa watanzania kuomba kura katika kipindi cha pile ambako atakuwa anajua kuwa ndo lala salama kwake si mafisadi watasherehekea?
   
 2. M

  Mwafrika JF-Expert Member

  #2
  Oct 22, 2010
  Joined: Nov 20, 2006
  Messages: 5,490
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 0
  Safi kabisa mkuu.
   
Loading...