Kama unauza pikipiki nicheki tufanye biashara

Mjina Mrefu

JF-Expert Member
Dec 6, 2016
3,030
3,324
Wakuu..

Natafuta pikipiki iliyo ktk hali nzuri kabisa.

-Iwe haijatumika zaidi ya mwaka na iwe namba C

-Iwe TVS, BOXER ama nyingine yenye muundo huo...

-Bei isizidi 1M

- Location iwe Dar

-Uwe na documents zote original na uwe tayari kuandikishana kisheria.

- iliyotumika kwa matumizi binafsi itapewa first priority

Ni PM km unayo ama unajua anaeuza.

===================================

Updates,

Nimefanikiwa kupata boxer BM 150 namba CDQ

Asante wote mlioshiriki kunishauri
 
Back
Top Bottom