Kama unataka uheshimiwe soma hapa

Harvest

Member
Jan 3, 2013
55
31
Kwanza nina zaidi ya miaka 30,nahitaji mke ambae nitamheshimu nae ataniheshimu,kwa kifupi tutaheshimiana
Kazi yangu ni mjasiria mali mdogo sana,yani ndo natafuta hela,kama wewe ni binti,mwanamke unahitaji mume unakaribishwa haijalishi umri ulionao kuwa mkubwa kuliko mimi,kama uko tayari kulala chini na kushindia dagaa karibu
Sifanyi utani hivyo sitaraji mtu wa kunitania pia,napatikana kanda ya ziwa ni PM kama unataka ndoa ya uhakika na ya furaha.
 
Kulala chini na kushindia dagaa???? ina maana makazi ni feri au??? hapana hebu jitahidi kidogo ununue hata ka kitanda lol
 
nitakuja na kitanda changu kulala chini hapana aiseehalafu dagaa sili
 
mtoa mada,nafasi ya wewe kuheshimiwa ktk maisha yako ni finyu sana kwa vile hujui namna ya kukufanya uheshimike mfano title yako na ulichoandika vitakukosesha heshima toka kwa wanaume wote watakaosoma thread yako

nikupe ukweli mchungu,pesa ndio itakayokupa heshima,leo hii hakuna aina hiyo ya wanawake unayoitafuta
 
Kwanza nina zaidi ya miaka 30,nahitaji mke ambae nitamheshimu nae ataniheshimu,kwa kifupi tutaheshimiana
Kazi yangu ni mjasiria mali mdogo sana,yani ndo natafuta hela,kama wewe ni binti,mwanamke unahitaji mume unakaribishwa haijalishi umri ulionao kuwa mkubwa kuliko mimi,kama uko tayari kulala chini na kushindia dagaa karibu
Sifanyi utani hivyo sitaraji mtu wa kunitania pia,napatikana kanda ya ziwa ni PM kama unataka ndoa ya uhakika na ya furaha.

Kulala chini na kushindia dagaa ni kudharauliwa sio kuheshmiwa.

Yaani mwanamke aje kukuzalie watoto washindie dagaa tu, si wataugua utapiamlo kwa kutopata lishe bora mchanganyiko.

Na mwanamke aje azae uwalaze watoto chini waliwe na mchwa, na sangara,

Hapo hamna heshma
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom