Uzi Maalumu wa Vitabu vya maendeleo binafsi (Personal Development)

Jul 20, 2019
40
45
Jukumu letu kubwa ni kuwa bora leo zaidi ya tulivyokuwa jana.

Njia pekee ya kuwa bora ni kujifunza kupitia usomaji wa vitabu.

Vipo vitabu vya aina nyingi ambavyo vinaweza kukupa maarifa mbalimbali. Lakini vitabu vya maendeleo binafsi (personal development) vinakupa maarifa, mbinu na hamasa ya kuweza kupiga hatua na kufanikiwa kwenye maisha yako.

Huu ni uzi maalumu wa kushirikishana vitabu vya maendeleo binafsi (personal development).

Kwa kuanzia, hapa ni orodha ya vitabu 10 vya maendeleo binafsi ambavyo wengi wanakiri vimewasaidia;

1. Think And Grow Rich cha Napoleon Hill.

2. The 7 Habits Of Highly Effective People cha Steven Covey.

3. How To Win Friends And Influence People cha Dale Carnegie

4. The Richest Man In Babylon cha George Classon.

5. The 10x Rule: The Only Difference Between Success And Failure cha Grant Cardone

6. Rich Dad Poor Dad cha Robert Kiyosaki

7. Eat That Frog cha Brian Tracy

8. Getting Things Done cha David Allen

9. Influence: The Psychology Of Persuasion cha Robert Cialdini

10. The Success Principles- How To Get From Where You Are To Where You Want To Be cha Jack Canfield.

Karibu ushirikishe kitabu cha maendeleo binafsi ambacho umewahi kusoma na kikakusaidia sana.

Pia kama kuna kitabu unatafuta uliza kwenye uzi huu na tutashirikishana.

Karibuni sana wote.

SOMA VITABU TANZANIA.
 
Attachments

  • Think And Grow Rich.pdf
    833.4 KB · Views: 90
  • Think And Grow Rich.pdf
    833.4 KB · Views: 50
  • Rich Dad, Poor Dad - Robert T. Kiyosaki.pdf
    777.5 KB · Views: 73
  • How to Win Friends & Influence People - Dale Carnegie.pdf
    466.5 KB · Views: 97

Attachments

  • David Allen - Getting Things Done.pdf
    2.1 MB · Views: 94
  • Robert B. Cialdini - Influence_ The Psychology of Persuasion (Collins Business Essentials) (20...pdf
    2.1 MB · Views: 83
  • The 7 Habits of Highly Effective People.pdf
    1.5 MB · Views: 85
  • The 10X Rule.pdf
    870.3 KB · Views: 85
  • The Success Principles by Jack Canfield.pdf
    2.1 MB · Views: 95

Hivi Ndivyo Unavyoweza Kutajirika.​

Anzia Hapo Ulipo Sasa.....​

Utajiri ni kitu ambacho kila mtu anakipenda, kwa sababu fedha ni hitaji muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku.

Ila kwenye jamii yoyote ile, ni wachache sana wanaofikia utajiri, kwa sababu wachache hao kuna siri wanazozijua kuhusu fedha na utajiri, ambazo wengi hawazijui.

Je ungependa kuzijua siri hizo ili na wewe uweze kufikia utajiri kwenye maisha yako? Kama jibu ni ndiyo basi kaa hapa, maana umefika mahali sahihi.

Kabla hatujaendelea nikukumbushe kwamba kinachowatofautisha tajiri na masikini siyo umri, kuna matajiri vijana na wazee, na wapo masikini vijana na wazee.

Na wala siyo kiwango cha elimu, kuna matajiri ambao hawajasoma kabisa na waliofika viwango vya juu ambao ni masikini.
Na wala hawatofautiani kwa rangi, kabila au jinsia.

Kwenye kila kundi la watu, kuna matajiri na masikini.

Hivyo kitu pekee kinachowatofautisha matajiri na masikini ni kile wanachojua na hatua wanazochukua.

Hayo mawili tu, WANACHUJUA na WANACHOFANYA.

Hiyo ina maana kwamba kama ukijua kile matajiri wanachojua na ukifanya wanachofanya, lazima na wewe uwe tajiri.

Je upo tayari kujua, ili uweze kufanya na utoke hapo ulipo sasa? Kama jibu ni ndiyo, basi karibu ujue kile matajiri wanajua na kikusaidie kufanya wanavyofanya na uwe tajiri.

Kuna maeneo kumi kuhusu fedha ambayo matajiri wanajua tofauti na masikini na hatua wanazochukua kwenye maeneo hayo ni tofauti na wanazochukua masikini.

Eneo la kwanza ni dhana halisi ya fedha, wanavyoichukulia fedha matajiri ni tofauti kabisa na masikini.

Eneo la pili ni kipato, matajiri wanajua jinsi ya kuingiza kipato hata wakiwa wamelala.

Eneo la tatu ni matumizi, masikini ni wazuri kwenye matumizi na hapo ndipo wanaachwa nyuma.

Eneo la nne ni madeni, matajiri wanajua madeni mazuri na mabaya na wanayatumia kwa umakini mkubwa.

Eneo la tano kutengeneza kipato kisicho na ukomo, vipato vya matajiri huwa havina ukomo.

Eneo la sita ni kuweza kuendelea kuingiza kipato hata wanapokuwa wamestaafu, matajiri wanajua kujiandaa kwenye hilo mapema.
Eneo la saba ni kodi, matajiri huwa wanalipa kodi ndogo kuliko masikini na wanafanya hivyo kisheria kabisa.

Eneo la nane ni kulinda utajiri usipotee, kupata utajiri ni jambo moja, kuuliza usipotee ni jambo jingine ambalo wengi hawalijui.

Eneo la tisa kuwaandaa watoto kuridhi na kukuza utajiri waliotengeneza, matajiri wa kweli wanawaandaa watoto wao vizuri ili mali walizopata zisipotee.

Eneo la kumi ni utoaji, matajiri wanajua utajiri wao siyo wao peke yao, hivyo wamekuwa wanatoa kwa jamii na wanapotoa ndivyo wanavyopata zaidi.

Umepata kwa ufupi sana mambo haya kumi, ili uweze kuyajua kwa kina na ujue hatua za kuchukua, karibu ujipatie na kusoma kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.

Kitabu hicho kimeyajadili mambo hayo kumi kwa kina pamoja na mifano mbalimbali na kukupa hatua za kuchukua ili uweze kufika kwenye utajiri mkubwa.

Kitabu kinauzwa TSH 20,000 ila kwa leo unakipata kwa TSH 14,999 TU na ili kukipata wasiliana na 0752 977 170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.

MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako. Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

Safari yako ya kuelekea kwenye utajiri imezuiwa na kile usichojua na hatua usizochukua. Pata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA leo hii na ujue yaliyo sahihi na hatua za kuchukua kuelekea kwenye utajiri.
 
Utajiri ni kitu ambacho kila mtu anakipenda, kwa sababu fedha ni hitaji muhimu kwenye maisha yetu ya kila siku.

Ila kwenye jamii yoyote ile, ni wachache sana wanaofikia utajiri, kwa sababu wachache hao kuna siri wanazozijua kuhusu fedha na utajiri, ambazo wengi hawazijui.

Je ungependa kuzijua siri hizo ili na wewe uweze kufikia utajiri kwenye maisha yako?

Kama jibu ni ndiyo basi kaa hapa, maana umefika mahali sahihi.

Kabla hatujaendelea nikukumbushe kwamba kinachowatofautisha tajiri na masikini siyo umri, kuna matajiri vijana na wazee, na wapo masikini vijana na wazee.

Na wala siyo kiwango cha elimu, kuna matajiri ambao hawajasoma kabisa na waliofika viwango vya juu ambao ni masikini.

Na wala hawatofautiani kwa rangi, kabila au jinsia.

Kwenye kila kundi la watu, kuna matajiri na masikini.

Hivyo kitu pekee kinachowatofautisha matajiri na masikini ni kile wanachojua na hatua wanazochukua.

Hayo mawili tu, WANACHUJUA na WANACHOFANYA.

Hiyo ina maana kwamba kama ukijua kile matajiri wanachojua na ukifanya wanachofanya, lazima na wewe uwe tajiri.

Je upo tayari kujua, ili uweze kufanya na utoke hapo ulipo sasa?

Kama jibu ni ndiyo, basi karibu ujue kile matajiri wanajua na kikusaidie kufanya wanavyofanya na uwe tajiri.

Kuna maeneo kumi kuhusu fedha ambayo matajiri wanajua tofauti na masikini na hatua wanazochukua kwenye maeneo hayo ni tofauti na wanazochukua masikini.

Eneo la kwanza ni dhana halisi ya fedha, wanavyoichukulia fedha matajiri ni tofauti kabisa na masikini.

Eneo la pili ni kipato, matajiri wanajua jinsi ya kuingiza kipato hata wakiwa wamelala.

Eneo la tatu ni matumizi, masikini ni wazuri kwenye matumizi na hapo ndipo wanaachwa nyuma.

Eneo la nne ni madeni, matajiri wanajua madeni mazuri na mabaya na wanayatumia kwa umakini mkubwa.

Eneo la tano kutengeneza kipato kisicho na ukomo, vipato vya matajiri huwa havina ukomo.

Eneo la sita ni kuweza kuendelea kuingiza kipato hata wanapokuwa wamestaafu, matajiri wanajua kujiandaa kwenye hilo mapema.

Eneo la saba ni kodi, matajiri huwa wanalipa kodi ndogo kuliko masikini na wanafanya hivyo kisheria kabisa.

Eneo la nane ni kulinda utajiri usipotee, kupata utajiri ni jambo moja, kuuliza usipotee ni jambo jingine ambalo wengi hawalijui.

Eneo la tisa kuwaandaa watoto kuridhi na kukuza utajiri waliotengeneza, matajiri wa kweli wanawaandaa watoto wao vizuri ili mali walizopata zisipotee.

Eneo la kumi ni utoaji, matajiri wanajua utajiri wao siyo wao peke yao, hivyo wamekuwa wanatoa kwa jamii na wanapotoa ndivyo wanavyopata zaidi.

Umepata kwa ufupi sana mambo haya kumi, ili uweze kuyajua kwa kina na ujue hatua za kuchukua, karibu ujipatie na kusoma kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA.

Kitabu hicho kimeyajadili mambo hayo kumi kwa kina pamoja na mifano mbalimbali na kukupa hatua za kuchukua ili uweze kufika kwenye utajiri mkubwa.

Kitabu kinauzwa TSH 20,000 ila kwa leo unakipata kwa TSH 14,999 TU na ili kukipata wasiliana na 0752 977 170 na utaletewa au kutumiwa kitabu popote ulipo Tanzania na Afrika Mashariki.

MUHIMU; Kama utanunua na kusoma kitabu hiki na ukaona hakina manufaa yoyote kwako, unaruhusiwa kukirudisha na ukarejeshewa fedha zako.

Hivyo chukua hatua sasa, huna cha kupoteza lakini una mengi ya kupata.

Safari yako ya kuelekea kwenye utajiri imezuiwa na kile usichojua na hatua usizochukua. Pata kitabu cha ELIMU YA MSINGI YA FEDHA leo hii na ujue yaliyo sahihi na hatua za kuchukua kuelekea kwenye utajiri.
 
3 Reactions
Reply
Back
Top Bottom