Kama unataka kupunguza umasikini fuga kuku chotara na kama unataka kufanya biashara fuga Kisasa

Mkuu unatumia majogoo wa nje?( Yaani umri tofauti na hao tetea )
Maana nikifuga Sasso ila matetea walipofika umri wa kutaga changamoto ikawa majogoo walikuwa Bado hawajapevuka

Kuchi ni aina gani?
Sasso wanaanza kutaga wakiwa na umr gani?
 
Mleta mada ni aina ya watu wanaoamini anajua kila kitu, hayupo tayari kujifunza kwa wengine lakini pia kufunza wengine, kwa ufupi mbinafsi. Au pengine tusimalize maneno, hajui namna ya kufikisha ujumbe. Moja kati ya hayo linamhusu.

Ukisoma mada yake utaona anapoint fulani, ila hajaiwakilisha kifasaha, ameandikaa juu juu tu kwa kujiamini yeye anajua na wengine wote hamjui kitu na hayupo tayari kufafanua.

Huyu ni kuachana naye tu, binafsi sina uzoefu mkubwa wa ufugaji lakini ninashauri watanzania kwny mijadala yetu tujiepushe sana kutoka nje ya mada. Yaani usipoteze muda nje ya mada kama ninavyofanya hapa. Ongelea Kuku, tetea upande unaouamini kwa hoja imara na vielelezo halisi, hiyo ni faida sana kwa wote.

Siku njema
 
Kwa nini usiiwakilishe wewe?.acha ujuha wa kutafuta sifa za kijinga humu. Unaweza anzisha Thread yako na ukaelezea.
 
Chasha, natambua wewe ni mfugaji mzuri wa kuku chotara kupitia taarifa zako hapa jukwaani. Naelewa unazungumza kwa uzoefu.

Katika hili, nitakuwa tofauti na wewe kidogo. Biashara huendana na mazingira yanayokuzunguka. Kuna mazingira ambayo broiler hawawajui hata kidogo, hususani miji midogo, ambapo maeneo kama haya, yanayotegemea kuku wa kienyeji tu, kuku chotara Ukiwafuga kibiashara watakulipa sana.

Mbali na mazingira, mikakati ya biashara hutofautiana mtu mmoja hadi mwingine. Tatizo ninaloliona hapa umezungumza kwa ujumla sana, pengine kwa kudhani biashara ya ikileta matokeo mabaya kwako basi itakuwa kwa watu wote. Hapana. Na hii inakuja kwa kujiamini kupita kiasi.

Nadhani ingetosha tu kutia uzoefu wako kuwa kwa upande wako, biashara ya kuku chotara imeenda ndivyo sivyo na sio kutamani uzoefu wako uwe princple kwa wote.
Consumption yao ikoje? Angalia Consumption power.

Dar ndo watumiaji namba 1 wa kuku wakifuatiwa na Miji mingine kama Arusha then Mwanza na Mbeya.

Hiyo niji wanakula kuku siku ya sikukuu hiyo sio biashara. Yaani ufuge kuku kusubilia sikukuu?
 
Chasha, natambua wewe ni mfugaji mzuri wa kuku chotara kupitia taarifa zako hapa jukwaani. Naelewa unazungumza kwa uzoefu.

Katika hili, nitakuwa tofauti na wewe kidogo. Biashara huendana na mazingira yanayokuzunguka. Kuna mazingira ambayo broiler hawawajui hata kidogo, hususani miji midogo, ambapo maeneo kama haya, yanayotegemea kuku wa kienyeji tu, kuku chotara Ukiwafuga kibiashara watakulipa sana.

Mbali na mazingira, mikakati ya biashara hutofautiana mtu mmoja hadi mwingine. Tatizo ninaloliona hapa umezungumza kwa ujumla sana, pengine kwa kudhani biashara ya ikileta matokeo mabaya kwako basi itakuwa kwa watu wote. Hapana. Na hii inakuja kwa kujiamini kupita kiasi.

Nadhani ingetosha tu kutia uzoefu wako kuwa kwa upande wako, biashara ya kuku chotara imeenda ndivyo sivyo na sio kutamani uzoefu wako uwe princple kwa wote.
Kula like mkuu.. Umemaliza kila kitu
 
Habari watanzania wenzangu

Napenda sana kujituma na huwa silazi damu nikiona fursa....

Juzi kati nilikua mtaa fulani hivi nikakuta mtu mfanyabiashara (yeye huuza vifaranga chotara) wenye week na kuendelea.

Nilivutiwa na vifaranga wake mno nikawaza na mimi siku zijazo ninunue nifuge ila nikikimbuka mara nyingi vifaranga wanavyoanzaga kufa hadi naogopa

Kasema keshawapa chanjo ya gumboro na kideri

Nafikiria kuanza na 20 hivi ila kuna wakati moyo unasita.

Hebu tuambiane ukweli wakuu kwa wale walowahi kufuga vifaranga mliwapa nini wasife?Chakula sio tatizo kwangu ila nataka kujua mbinu mliotumia ili vifaranga wasife
 
Moderators naomba muhamishie huu uzi jukwaa la kilimo na ufugaji pls

Asante
 
Kaa mbali na hii biashara, utawatumikia madalali tu. Unless una uhakika wa supply ya vifaranga bora saa yoyote unapovitaka kwa bei nzuri na pia una soko la direct, kwa mkataba.
Pia, kaa nayo mbali kama unataka kufuga less tha 1000.
Hii biashara madalali wameshaiharibu.
 
Hakuna fursa utakayoifanya ikakosa changamoto cha msingi kusanya maarifa kisha anza. Mimi nilitafuta maarifa hapa hapa JF nikaanza na tetea tano wa kienyeji mwezi wa saba mwaka huu nilipata vifaranga 49 wawili walikufa wakiwa na wiki sasa hivi nalea vifaranga 47 wa kienyeji wana mwezi mmoja na siku nane mama zao wameanza kukalia tena. Awamu hii ya pili nategemea kupata vifaranga sitini mwisho wa mwezi huu.
 
Wana kosa vitu vingi sana kuanzia Production ya mayai hadi ukuaji na kadhalika.

Wewe fanya uchunguzi mbona rahisi sana?

Zunguka maeneo ya mjini tembelea viwanda vinayo tumia mayai pia tembelea vibanda vya Chips, ukitoka hapoa nenda Hoteli kubwa pia nenda Sokoni.Pia tembelea Sherehe kubwa kubwa zote kama Harusi au semina sijui angalia aina ya kuku wanao liwa pale na kwa nini

Kuku kienyeji na mayai ni kwa home Consuptions.

Tena kwa kiwango kidogo sana.

You must be a marketing Guru. I admire your IQ
 
unajua kufuga ni passion...

mimi naona yeye passion yake ni layers na broilers, wapo wengine passion yao ni kufuga chotara, kanga, au bata

kuna facts nyingi sana zinazomfanya mtu afuge kitu flani, ila mjasilia mali siku zote huwa ni opportunistic, huwa tunaangalia soko lako linataka nini ndio unafanya..facts zipo nyingi sana, ila kama kitu hukipendi usikiponde kwa sbb watu wanafanikiwa kwa hichohicho unachokiponda..
tubadilike wa bongo sio tunaponda tu,
Huu ndio ukweli
 
Kuku Layers.

Chukulia una kuku wa mayai 400. Hawa watakula average kilo 50 yaani mfuko mmoja wa Layers.

Bei ya mfuko kwa sasa ni 52,000.

Utapata average mayai 300 kila siku kama kuku wako watataga vizuri mno - Average 75% ya kuku wote ambazo ni tray 10.

Bei ya Trai moja kwa sasa ni Tshs 5,000.

Kwa hiyo ukiuza mayai yote Tray 10 utapata Tshs 50,000 kwa siku.

Kuku wanakua mfuko 1 kwa bei ya Tshs 52,000.

Piga hesabu mwenyewe, kisha hujaweka mshahara wa kijana kama 80,000 kwa mwezi.

Kazi kwako.

(Hesabu yangu hii si ya kufikirika bali ni ya kweli na current)
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom