Kama unataka kuoa/kuolewa kuwa makini na hili kabila.

Wisest man

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
993
332
Habari yenu wakuu?????
Leo nimeamua kulizungumzia kabila la kimakonde, ktk uchunguzi nilioufanya kutokana historia ya sehemu nilizoishi inaonekana wazi kuwa unapotaka kuoa ama kuolewa na mmakonde ilhalh wewe sio mtu wa kabila hilo basi chukua tahadhari, kiufupi ni kwamba hili kabila linaamini sana ktk ushirikina na pia ni kabila la watu wenye wivu sana na mafanikio ya watu(Hawapendi kuona wengine wana mafanikio), yaani kama wewe huna nyumba au gari hatataka siku moja uwe nacho, na nikivuta historia vizuri inaonesha kuwa kati ya wamakonde 10 unakuta nane ni wachawi na wanga, lakini pia inaonesha wamakonde wenye tatizo hilo wengi ni waumini wa dini ya islam, kwahiyo unachotakiwa ni kuangalia hali halisi ya familia unayotaka kwenda kuoa/kuolewa, usipokuwa makini utajuta, maana kama ni mwanaume umeoa binti wa kimakonde jiandae kuwasahau ndugu
zako na kamwe hutaendelea kimaisha, hili kabira ndilo linaloongoza kwa kuchezea watu mitaani bila sababu za msingi.
 
Mambo ya ukabila na udini ni stupid nonsense. Tukientertain hayo hatufiki popote na anayeshabikia ukabila au udini amechelewa sana
 
Karne hii ya 21 bado Watanzania mnazungumzia ukabila na makabila! Kwani bado mnaendelea na matambiko na makafara?

Mke wangu anatoka kabila lililosemwa hivyo hivyo, lkn hafanyi hata kimoja mleta mada anataka kutuaminisha. Kwa ufupi, ktk zama hizi hakuna kabila zuri au baya, ila kuna watu wabaya na wazuri kitabia.
 
Kwa hiyo hakuna mmakonde hata mmoja mwenye gari!na nyumba zote ni za nyasi!mmmmh!aiseee
 
Jamaa imekula kwake, haaaaaaa!!!!!!

Em Proudly born in Makonde de Republic

Huyo jamaa anatangaza vita na Wamakonde, hajui ule msemo; "ukipanda nchale, ukichuka nchale". Ngoja Big Show aongeze timu humu ili mumshughulikie kibingwa.
 
Karne hii ya 21 bado Watanzania mnazungumzia ukabila na makabila! Kwani bado mnaendelea na matambiko na makafara?

Mke wangu anatoka kabila lililosemwa hivyo hivyo, lkn hafanyi hata kimoja mleta mada anataka kutuaminisha. Kwa ufupi, ktk zama hizi hakuna kabila zuri au baya, ila kuna watu wabaya na wazuri kitabia.

Sijasema wamakonde wote ila wengi wao ndio wako hivyo.
 
Ha ha ha naungana na wewe asilimia 100% hawa jamaa halafu ni wavivu nawajua vzr kila siku matambiko mara ngoma za mashetani.
 
Kati ya vitu nisivyopenda maishani ni ukabila na udini. Hata thread zenye kujadili ukabila na udini huwa sichangii. Sijui nimekuja kufanyeje kwenye thread hii....kwa heri.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom