Kama unataka kulima Mkuranga na hauna muda wa kusimamia unakaribishwa kushirikiana

Kaka mwisho

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
402
167
Ndugu zangu kuna watu wanapenda sana kufanya shughuli za ziada kama kilimo na ufugaji lakini tatizo wanakuwa hawana muda wa kusimamia kutokana na majukumu ya kazi zao za kiofisi kwa walio ajiriwa. Nategemea kuanza kilimo cha tikiti maji mkuranga mwezi wa pili na baadae taanzisha mradi wa kuku wa kienyeji na baadae wa kisasa na mbuzi. Kwahiyo kwa yoyote ambaye anapenda kufanya hizi shughuli lakni hana muda wa kutosha kutokana na majukumu ya kikazi naomba tuwasiliane kwa pm ili tujadili jinsi ya kushirikiana kwa hili na kuonana kabsa ili kutambuana vizuri. Nawakaribisha wadau wote wanaopenda kulima na kufuga mkuranga.
 
Ndugu zangu kuna watu wanapenda sana kufanya shughuli za ziada kama kilimo na ufugaji lakini tatizo wanakuwa hawana muda wa kusimamia kutokana na majukumu ya kazi zao za kiofisi kwa walio ajiriwa. Nategemea kuanza kilimo cha tikiti maji mkuranga mwezi wa pili na baadae taanzisha mradi wa kuku wa kienyeji na baadae wa kisasa na mbuzi. Kwahiyo kwa yoyote ambaye anapenda kufanya hizi shughuli lakni hana muda wa kutosha kutokana na majukumu ya kikazi naomba tuwasiliane kwa pm ili tujadili jinsi ya kushirikiana kwa hili na kuonana kabsa ili kutambuana vizuri. Nawakaribisha wadau wote wanaopenda kulima na kufuga mkuranga.[

nipigie tuzungumze 0755279119
 
Ndugu zangu kuna watu wanapenda sana kufanya shughuli za ziada kama kilimo na ufugaji lakini tatizo wanakuwa hawana muda wa kusimamia kutokana na majukumu ya kazi zao za kiofisi kwa walio ajiriwa. Nategemea kuanza kilimo cha tikiti maji mkuranga mwezi wa pili na baadae taanzisha mradi wa kuku wa kienyeji na baadae wa kisasa na mbuzi. Kwahiyo kwa yoyote ambaye anapenda kufanya hizi shughuli lakni hana muda wa kutosha kutokana na majukumu ya kikazi naomba tuwasiliane kwa pm ili tujadili jinsi ya kushirikiana kwa hili na kuonana kabsa ili kutambuana vizuri. Nawakaribisha wadau wote wanaopenda kulima na kufuga mkuranga.

Mimi nalima Mwalusembe, Mkuranga kwenye Mashamba ya kukodi, na ni kweli muda unanibana. Ila sasa wewe unataka unisaidie kusimamia nikupe malipo ya usimamizi? Au wewe usimamie Halafu kwenye mapato nawe uweko?

Wewe unamiliki Mashamba?
 
Back
Top Bottom