Kama unataka kufanikiwa,ni lazima uwe mvumilivu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unataka kufanikiwa,ni lazima uwe mvumilivu

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by NEW NOEL, Oct 23, 2011.

 1. NEW NOEL

  NEW NOEL JF-Expert Member

  #1
  Oct 23, 2011
  Joined: May 21, 2011
  Messages: 837
  Likes Received: 110
  Trophy Points: 60
  Ndugu zangu wa Manchester united mnapaswa kuwa wavumilivu. Wenzenu wa Arsenal walivumilia na sasa mambo ni mazuri. Hata Liverpool nao ni wavumilivu.
  Najua Manchester a.k.a Mansix mpo kwenye majonzi. Lakini poleni.
  What goes around must come around. Mlipoifunga Arsenal mlichonga sana. Sasa zamu yenu.
   
 2. P

  Peter lilayon Member

  #2
  Oct 23, 2011
  Joined: Aug 13, 2011
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I appreciate dat ndugu zangu, masix
   
 3. Mamndenyi

  Mamndenyi JF-Expert Member

  #3
  Oct 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 29,084
  Likes Received: 6,546
  Trophy Points: 280
  hee nilijua unatushauri sisi wajasiriamali kumbe uko kwingine, kwaheri
   
Loading...