Kama unataka kuelewana kazi na fundi muache mkeo aongee nao

komoakomesha

JF-Expert Member
May 4, 2020
285
397
Jamani mimi ni fundi ujenzi wa majumba makubwa yakiwemo maghorofa, kilichotokea wiki hii nimepata mchongo mmoja wa kazi. Kuna mjengo unainuliwa maeneo ya Mbweni huku, kimbembe kikaja kwenye mapatano jamaa kamsakizia mkewe ndo tuelewane kazi.

Bwanaee mkewe kaumbika kama Mnyarwanda fulani hapo kati kiuno cha nyigu, nyuma bonge la kalio, jamaa yeye kaganda kwenye gari, kamuacha mkewe ndio tuelewane nae.

Yule dada kanibana kwenye Bei nimejikuta kazi ya milioni 16 naifanya kwa million 12, yule dada analialia kinoma kwamba ndio waliyonayo, ila sawa tu nilichopanga moyoni ni kumkomesha kwenye matilio sument, nondo, vifusi, kokoto na mbao mabati.

Nasema atajuta kuzaliwa labda nisiwe nimetoka Moshi mimi na hawa mafundi wangu na wasaidizi mwendo wa kuwabana tu hadi kieleweke, hapa kanipa kianzio milion 6, ngoja nikapozee koo pale kwetu pazuri bar kisha nikale biriani kwa Mariamu biriani.
 
Mjifunze sio kuwaambia masheji ndo tuelewane kazi
Hapana haijalishi ni shemeji au ni nani.. integrity ni muhimu. Utendaji wako lazima ujidhihirishe wenyewe..

Watu hawataki headache ya kukaa wanafuatilia umeweka mifuko mingapi ya simenti wa misumari.. ukiweza kuwa mwaminifu wa kuwaondolea hiyo they will be willing to pay more.

Swala la unanegotiate na nani. Ni swala la ndani huwezi jua.. labda nina kigugumizi a hasira.. au mie sipo around muda mwingi.. utanegotiate na yule atakayekusimamia..

Kuwa mwaminifu. Na ujanja ujanja haudumu.. niamini. What comes easy..!? Won't last.!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ufundi ni kazi inayolipa sana kama mafundi wakijitambua. Tatizo asilimia kubwa sana ni mijitu mijinga milimbukeni mijizi mizinzi milevi na kila aina ya utopolo

Mtoa mada kwa hii topiki yako umeshika nafasi zote nilizotaja hapo
Sasa mdau kazi hizi ni ngumu pia zinalawama na majungu ndani yke ,kwa hiyo pesa yke lazima ule Bata kidogo
 
Hapana haijalishi ni shemeji au ni nani.. integrity ni muhimu. Utendaji wako lazima ujidhihirishe wenyewe..

Watu hawataki headache ya kukaa wanafuatilia umeweka mifuko mingapi ya simenti wa misumari.. ukiweza kuwa mwaminifu wa kuwaondolea hiyo they will be willing to pay more.

Swala la unanegotiate na nani. Ni swala la ndani huwezi jua.. labda nina kigugumizi a hasira.. au mie sipo around muda mwingi.. utanegotiate na yule atakayekusimamia..

Kuwa mwaminifu. Na ujanja ujanja haudumu.. niamini. What comes easy..!? Won't last.!

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mdau mi nakula kazini ,ni mwendo kumzidishia matili na zikifika saiti zingine nauza nafidia hio nne ilyopotea
 
Jamani Mimi ni fundi ujenzi wa majumba makubwa yakiwemo magorofa, kilichotokea wiki hii nimepata mchongo mmoja wa kazi Kuna mjengo unainuliwa maeneo ya mbweni huku ,kimbembe kikaja kwenye mapatano jamaa kamsakizia mkewe ndo tuelewane kazi ,bwanaee mkewe kaumbika kama mnyalwanda flani hapo Kati kiuno Cha nyigu ,nyuma bonge la kalio , jamaa yeye kaganda kwenye gari ,kamuacha mkewe ndo tuelewane nae ,Yule dada kanibana kwenye Bei nimejikuta kazi ya milioni 16 naifanya kwa million 12 , Yule dada analialia kinoma kwamba ndo waliyonayo , Ila sawa tu nilichopanga moyoni ni kumkomesha kwenye matilio sument nondo vifusi kokoto na mbao mabati , nasema atajuta kuzaliwa labda nisiwe nimetoka Moshi Mimi ,na hawa mafundi wg na wasaidizi mwendo wa kuwabana tu Hadi kieleweke , haba kanipa kianzio milion 6 ,ngoja nikapozee Koo pale kwetu pazur bar Kisha nikale biliani kwa mariamu biriani ,sory wadau kwa uandishi wg mbaya
Kwa mwendo huu wewe ni fundi mahiri na unaishi banda la uani la kupanga.

Shwaini nusu na kasorobo we
 
Mbona unatoa Siri ya kazi?

Mimi nilikuwa ninasafitisha mzigo fulali ila nikawa na wasisi maana mzigo ulikuwa mrefu kuliko gari yaani ulizidi nyuma na mlango haukufungwa.

Nikamwambia wife, tukikutana na afande wa kike, mimi nitashuka kuongea naye ila tukikutana na wa kiume, wife aende kuongea.

Tulifika maeneo fulani tukakutana na afande wa kiume. Wife kashuka akaongea naye kuhusu lile kosa na akasamehe hakutaka hata hela akasema basi nenda.
wanawake hasa akiwa mzuri wanaume hatupindui
 
Safiii kulaa maishaaaa.....duniani lazima watu kama wewe na mimi tuwepo ili mambo yaende
 
Back
Top Bottom