Kama unataka au unamiliki Radio Station? Soma hapa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kama unataka au unamiliki Radio Station? Soma hapa

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by Radio Producer, May 11, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari wana JF,
  Kuna Master log inauzwa ya Radio ya christian ambayo ina:-
  1. Administration structure ya radio hiyo.
  2. Clock formats included in master log (make my day) ya radio.
  3. Schedule 24h/7d
  4. Leading programs handbook (Hii imeanalize kila kipindi kilichomo kwenye radio)
  5. Library ya nyimbo za kiingereza about 16GB storage.

  Sifa zake:
  1. Iko unique sana.
  2. Haina upendeleo.
  3. Inasikilizwa na watu wote.
  4. Imezingatia sana competence activities na time.
  5. Ina include vipindi vya kijamii na michezo.

  Kama unahitaji tuwasiliane bei yake ni Tshs 1,000,000. Mazungumzo yanakaribishwa! Ukihitaji ya radio isiyo ya kikiristo pliz wasiliana tu iandaliwe soon itakuwa ready!
  Ukiwa na Master log ya hivi huhitaji kujipanga panga wala nini miongozo yote imo so wafanyakazi wao ni kufanya kazi tu! programs goals zimo pia!
  Thanks
   
 2. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Welcome
   
 3. newmzalendo

  newmzalendo JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2011
  Joined: Mar 23, 2009
  Messages: 1,359
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  radio produza,sijakuelewa na pia nahisi wengi hawajakuelwa ,unachouza ni vipindi vya kuendesha radio au ni full fledged radio station?
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  May 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Newmzalendo ni document kamili zinazomwenesha mtu kuendesha radio yake! ratiba ya vipindi vyote, masuala ya uongozi, yaani kila kitu kama una radio au unataka kuanzisha ukiipata hii document wewe ni kazi tu kwa kwenda mbele!
   
 5. Chipukizi

  Chipukizi JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2011
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 1,970
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Hati miliki ya hizo nyimbo imezingatiwa?
   
 6. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Imekaa vizuri sana! ondoa wasiwasi!
   
Loading...