Kama unatafuta mfanyakazi katika kazi zako nitakutafutia bure ndani ya sekunde

Ibrahim augustine

JF-Expert Member
Nov 28, 2017
428
575
Mambo VP wakuu Mimi Nina miliki website yangu ambayo inahusika na nafasi za kazi hivyo kama una tangazo lolote nitakufanyia buree ila sharti kazi iwe halali.
Unachotakiwa kufanya ni kuandika tangazo lako na kunitumia WhatsApp na niatakutangazia buree 0766283352
Furaha yangu nikuona kila mtanzania anapata kazi na kuishi maisha mazuri.
 
Back
Top Bottom