Kama Unasubiri wewe unasubiri selections za undergraduate 2017/2018 nimekusogezea hii!

Shukuran mkuu! Ila ujumbe umefika na ni sahihi kwamba selection hazitolewi leo kulingana na chanzo cha ndani cha habari kutoka TCU
Kwa nini TCU isingetoa taarifa rasmi kwenye tovuti yao? Kwa nini wako kimya huku wakiona watu wanavyopoteza muda kusubiri?
Ndiyo maana bila shaka ulitazamia kukutana na rough language humu jamvini! TCU wamekosa uungwana katika hili!
 
TCU ndio wanaosimamia mchakato mzima! Hawawezi kukwepa lawama katika hill la kuchelewesha kutangaza
 
Back
Top Bottom