Kama unashangaa ubabe aliyofanyiwa Shyrose Banji, basi hujayasikia ya Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu

Magufuli hasira za nini kama mbunge wa CCM anatiwa na Mbunge wa Chadema?
Ila Chadema wahuni aisee hii style ya kuiba siri za CCM nimeikubali.
Mkuu unadhani mbunge kama Juliana Shonza umpe faragha na Sugu na apewe "kichapo" heavy mfano Kachunchu, mbwa kachoka, mbuzi kagoma kwenda na ile aliyoitaja bwana mkubwa kule Bukoba ataacha kumwaga siri zote za kikao cha ndani cha chama? Atajikuta mwenyewe anaanza "ohh baby Sugu nikuambie! Kinana alituambia tusimpe kura Masha na Wenje kuna mgawo wa fedha unakuja"
Chezea vijana makamanda wewe!
 
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
akha haaa ha ha! ngoja kwanza wewe ngoja kidogo, ni mchepuko wa nani? hawa jamaa washenzi sana, sie tupeleke wao wakagonge like tu!
 
Nyinyi mnajua fika huyo ni chiizii...kisha mnampa uenyekiti wa ccm...sasa kwanin asiwaleteee viroja
 
CHAGUO LETU WENYEWE.............

TUMEIPENDA WENYEWE..............

ACHA TUISOME NAMBA EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE
 
Mimi nikianzisha thread ya kutunga kama yako kuhusu kikao cha chadema kilichofanyika Tanga itafutwa maramoja...

Nani asiyejua kuwa Mwenyekiti wenu wa maisha alitaka kutumia ubabe kumuweka Ndesamburo viongozi wa mikoa ya kanda ya kaskazini wakamgomea akaamua kuwafuta uongozini???

Mnataka kutufanya tusahau ya Iringa mwenyekiti alipoingia kwenye kikao na majina ya viongozi na kumbeba Msigwa na kumuacha chagua la wajumbe Ole Sosopi???

Kunya anye bata ila akinya kuku nongwa...
Kwa maana nyingine unakubali kuwa magu kasema na kutenda! Acha " wapigwe" tu ndo faida ya kutegemea hisani.
 
Ndugu zangu watanzania tupiganie katiba mpya ili iwe ndiyo nira na ngamia ya kuwadhibiti viongozi wetu wa kisiasa. Hasa rais ambaye madaraka yake kwa katiba yetu ya sasa yamevuka mipaka ya kibinadamu. Katiba inampa rais umungu mtu.

Wiki iliyopita dada yetu Shyrose Banji alimlalamikia rais Magufuli na mwenyekiti wa chama cha Mapinduzi kutumia madaraka yake vibaya na kuamua kukata jina lake kibabe. Hata pale walipojitokeza wajumbe 4 kutaka kutoa maelezo na sifa za dada Shyrose JPM alisisitiza hataki kulisikia jina hili na kutaka likatwe.

Lakini hayo ya Shyrose Banji ni madogo sana ukilinganisha na yale yaliyowakuta akina Abdallah Bulembo na Dr. Kafumu ktk kikao cha wabunge wa ccm tupu wao huita "caucus" . Ambapo mwenyekiti alikuwa akiwalisha yamini wabunge wa ccm kukubaliana na kila linalofanywa na serikali.

Mnyetishaji wangu kanifunulia kuwa Dr. Kafumu alipewa makavu laivu eti kwamba kamati yake inaponda kila mkakati na sera zilizoandaliwa na serikali kwa sabb Dr. Kafumu alitarajia kupewa uwaziri. Sasa hasira zake za kukosa uwaziri ndiyo kazihamishia kwenye maoni ya kamati aliyokuwa akiiongoza. Daah! Jamani!

Lkn pia ni kamati ya Dr kafumu ndiyo iliyopanga kwenda kumuona Lema gereza la Kisongo ambapo mhe rais na mwenyekiti wa chama cha mapinduzi alilaani mpango huu uliyoshindikana kutekelezwa baada ya muda kukosekana. Ikumbukwe Lema ni mjumbe wa kamati hii. Mambo haya ndiyo yaliyowafanya Dr. Kafumu na Vicky Kamata kuamua kuachia nafasi zao kwenye kamati hii.

Mwenyekiti wa chama hakuishia hapo. Alimdhalilisha Abdallah Bulembo ambaye ndiyo kwanza alikuwa ameteuliwa kuwa mbunge kwa kumtaka amkanye mwanaye wa kike ambaye pia ni mbunge. Eti kwasabb mwanaye huyu ana mahusiano na mbunge wa upinzani hivyo kwa vyovyote atakauwa anatoa siri za ccm kwa mchepuko huo wa upinzani.

Kwa hili kwakweli Abdallah Bulembo Kama kweli uliambiwa haya mbele ya wabunge wenzako na mbele ya mwanao, basi ulidhalilishwa sana. Binti yako sasa ana miaka 22 na ni mbunge. Wewe unahusika vipi na mahusiano yake ya kimapenzi yasiyo rasmi? Siyo rasmi kwasabb mwanao hajakuletea huyo mwanaume umtambue rasmi. Mwanao anakata kiu tu ya kiutu uzima.

Kwa mila na desturi za kiafrika baba hapaswi hata kuambiwa kuwa mwanae wa kike ni mchepuko wa fulani. Ni mwiko. It is an abomination.

Rais huyu si mara ya kwanza kuwararua wenzake mbele za watu. Tunayakumbuka ya balozi Mahiga na waziri Lukuvi kuhusu wake zao.

Suluhu ya kashfa zote na dharau zote hizi ni katiba Mpya.
Pili pili usoila yakuwashia nn
 
Aliyasema mkuu wala usibishe, mchepuko wetu binti wa Bulembo ndo katueleza haya! Magu.......mpaka anaona wivu wabunge wake wa kike kufumuliwa na tuvijana twa upinzani!!
Labda jamaa alifikiri akiwa top atamiliki hadi "papuchi" za wana ccm!
 
Ila kumtia mimba na kumzalisha MDOGO wa mkewe n ushujaa na asset eti?
Hajui kuomba kutongoza kimahaba . . , si mbabee . . ?! Anatumia maguvu maguvu tuu . .

Ndio wasukuma walivyo lakini . . , mnisamehe wasukuma kwa huyu jamaa kuwatia aibu . .
 
Unauhakika gani na unachokisema ama na kuhusu Sheroz banji kwa yy ndio mwana ccm peke yk kwamba klia mwaka lzma aende EALA htutaki unafki wko kn umetumwa aliykutuma muambie ajitokeze tumuone km kwel ni kdume
 
Ila kumtia mimba na kumzalisha MDOGO wa mkewe n ushujaa na asset eti?
Hayo mambo hayana ushahidi kama kweli. Pia hayakutuletea mgogoro kuhusu uwakilishi wa maslahi yetu ktk vikao vya utendaji au vya kibunge vya EAC. Tumjadili mtu ktk issues hasa za utekelezaji wake wa majukumu ya uwakilishi ktk vikao vya EAC, na sio tumjadili mtu kwa mambo personal yasiyotunyima haki yetu ktk EAC tena mambo yenyewe ni ya kiumbea bila ushahidi. Lakini ya Shyrose Bhanj tuna ushahidi yalirushwa hadi ktk TV pale wabunge toka nchi jirani walivyosusia vikao vya bunge kushinikiza kuchukuliwa hatua kwa huyu dada.
 
Waliokaribu nae ndiyo wanampa kichwa na wengi wapo kimya maana bado hayajawakuta wao,yakiwafikia utasikia mapovu yakiwa yanawatoka
 
kuwashauri magamba hakuna tofauti na kumshauri bosi wa Bashite amtumbue Bashite.

ukiona msafiri anang'ang'ania daladala iliyobuma ujue kuna rambo (mzigo) yake humo!
 
Kasema ! Ucmtetee,mbona upinzani hua mnawalisha maneno ambayo hata hawajayatamka ni fikra zenu tu ? Ss twambie ww alichosema km co hiki,manake ktk mkutano huo hakuuitisha na akakaa kimya bila kusema kitu ! Mbona baada yakutoka ktk hicho kikao wabunge wa ccm wamecharukia upinzani na spika wao km wamemeza pilipili kichaa iliyolipukia tumboni ! Nyie
Ndo mnaoshabikia wasanii kutekwa,uvamizi wa bashite,matumizi mabaya ya claha mf. Kwa
Nape,waendesha pikipiki,daraja la mkapa na kuuwawa wapinzani ! Namna hii hamjengi mnaharibu sn na kuligawa taifa !
 
IMG_7215.JPG
 
Back
Top Bottom