Amesema, mikoa itakayopata baridi chini ya nyuzi joto 6 ni ile ambayo iko kwenye maeneo yenye miinuko husani mikoa ya Mbeya, Songwe, Iringa, Njombe pamoja na maeneo ya kusini ya mkoa wa Morogoro, hivyo, inaweza kuleta athari kwa binadamu, wanyama, samaki pamoja na ustawi wa mazao mashambani hususani mazao ya muda mrefu kama migomba yanaweza kupata magonjwa ya fangasi na kudhoofisha ustawi wake.Kwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City ujipange
Baridi ni kali mno
Vipo Ila kuna sehemu makambako kuna machangu wa kutosha.Vipoza baridi si vipo?
Usisahau Ngorongoro mkuu.Wa Karatu watasemaje? Kwa Mkoa wa Arusha sehemu yenye Baridi ya kutisha ni Karatu,
Nimekaa sana lkonda pale lakini hii baridi ya Arusha ni pasua kichwaHivi kwa Tz kuna sehemu kuna baridi kuizidi Makete?
Bado unaoga maji ya baridi?Nimekaa sana lkonda pale lakini hii baridi ya Arusha ni pasua kichwa
TuliaKwa taarifa yako kama una mpango wa kuja pande hizi za A- City ujipange
Baridi ni kali mno
View attachment 1804414
Arusha hiyo muda huu
Kuna siku nimeingia kuoga maji ya baridi nikasikia sauti inapenya masikioni inasikika ikisema "Oga maji haya ya baridi ufe sasa hivi". Nikaahirisha ikanilazimu nikanunue heater, weeeeee!Bado unaoga maji ya baridi?