Kama unasafiri kuja Arusha ujipange hali ya hewa ni mbaya sana

IMG_0906.JPG
Sasa wa Tukuyu tuseme nini mkuu wakati Arusha ni 16c
 
Yaani baridi kidogo tu unalia.
Ikifikia 10c unafanyaje.??
Subiri July mwisho utaanza lalama joto.
 
Back
Top Bottom