Kama unapata nafasi ya kuonesha upendo kwa watu, fanya hivyo tafadhali

Chakorii

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
18,579
50,668
Habari ya asubuhi watu wangu wa nguvu ni furaha yangu kusikia mko na afya na ni wazima. Tuliowapoteza wapendwa wetu Mungu azidi kututia nguvu peke yetu hatuwezi 😔😔

Ninazidi kutafakari hali hii ya kuwapoteza wapendwa wetu ghafla mpaka naogopa aiseh 🥺🥺nimengi yamezunguka kichwani mwangu na mengine hayaandikiki☹️😩😩😩

Niishie kusema kama umzima wa afya, husumbuliwi na chochote basi hali ya uchumi mbaya isikufanye ukakufuru na kushindwa kumshukuru Mungu kwa zawadi ya uhai ulionao.

Kama unampenda mtu mwambie, kama kuna vitu unapenda kufanya ambavyo si machukizo machoni pa Mungu, basi ukafanye na Mungu asimame pamoja nawe.👏👏

I Chakorii ....ninawapenda sana❤️❤️❣️❣️

🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️🧚‍♀️
 
Yote kwa upendo, hali ya sasa inaleta taharuki sana ndani ya nafsi za wengi tuzid kumuomba Mungu bila kuchoka sambamba na kuchukua tahadhari. Penda sana wewe
 
Back
Top Bottom