Kama unalipwa 750,000 au chini ya hapo na bado umeng'ang'ania ajira jitafakari

Mkuu wapo wa chini ya hapo na wanaishi .. hapo ndo utajua kuwa wabongo ni wa ajabu sana! Wizi mtupu .. wao wanaita dili.
Usiwe mvivu wa kufikiri kuishi wanaishi hata watu wasio na kazi wala mshahara na wanakula na kulala na wamejenga.
 
Bima ya afya sio kielelezo cha wewe kutokuwa na akiba ya Matibabu pale unapoenda hospitali kutibiwa. Mfano mdogo tu, kuna kipimo cha typhoid mahospitali mengi na makubwa kama Tumaini hospital ukienda pale wanakwambia kuwa NHIf hawajawapa ruhusu ya kuwatibia wagonjwa wa typhoid. Hivyo unalazimika kugharamia hela elfu 5/10 ili uweze kupata hicho kipimo. Achilia mbali baadhi ya vipimo vingine hadi uende huko makao makuu ya NHIF ndio wakaidhinishe.

Mfuko huu wa bima wanatakiwa kubadilika na kuimarisha huduma zao.
 
Mkuu tukirudi kwenye mada hospitali za bongo wakigundua una bima utaangaliwa vibaya na unaweza usipate huduma vizuri tofauti na mwenye cash.

Inaonekana uko nje ya nchi hii. Mahospitalini private na serikalini hakuna mgonjwa anayethaminiwa kama mwenye bima. Hawa ndio wagonjwa pekee wenye Ma Dr wao na foleni ni fupi sana
 
Sio tu hiyo laki 7 na nusu, kuna watu wanalipwa laki 3 na wanaishi tena bado wanasomesha. Pia wengine hulipwa mamilion lakin hayawatoshi.
Nakusudia kusema kuwaaa, kila kitu ni mipangoo
laki 3 mbona nyingi kuna watu wanalipwa 150,000 na wanaishi vizuri tu,,,,,,nenda pale Arusha kiwanda cha nguo A TO Z au SUNFLAG mshahara 150,000 watu wanatafuta kazi hapo na hawapati
 
Kuna idara zinaangaliwa kwa jicho la pekee, jeshi la wananchi,mahakama,polisi.uhamiaji na bunge,watumishi wengine tulie tu.
 
Huyo ni mfanyakazi wa wapi? maana kuna miji mingine ukilipwa hiyo ni fedha nyingi sana na mtu anaishi kiulaini kabisa.
Na unadai akiugua atakuwa mochwari kwa kuwa hana fedha za matibabu huku umeweka gharama za bima ya afya kwenye bills zake?
Una akili sana we binadamu
 
NSSF 75,000
PAYE 90,650
BODI YA MIKOPO 112,500
CHAMA CHA WAFANYAKAZI 15,000
BIMA YA AFYA 37,500
Kodi ya nyumba 100,000
Maji 10,000
Umeme 15,000
King'amuzi 10,000
Nauli kazini 40,000
Vocha 10,000

Jumla = 515,650
Sasa 750,000 - 515,650 = 234,350

Hapo ukiweka chakula kwa mwezi ni sawa na ukichukua
234,350/31 = 7560 sasa hii ndo ule wewe na familia yako kwa siku....
HAPO UKIUGUAAAAA TUNAKUOKOTEA MOCHWARI MAANA HATA SENTI TANO YA AKIBA HAKUNA.....LAKINI TUWE NA SUBIRA LABDA MAMBO YATAKUA POA HAPO BAADAE.

"ukiugua tunakuokotea mochwari"
NA HIYO BIMA YA AFYA ULIYOIORODHESHA HAPO ITAKUWA INAFANYA KAZI GANI!?
 
maisha hayana formula aisee cha muhimu ni kukaza buti popote ulipo huku ukimtanguliza Mungu manake yeye ndiye atupaye nguvu za kupata huo utajiri
 
Sasa
NSSF 75,000
PAYE 90,650
BODI YA MIKOPO 112,500
CHAMA CHA WAFANYAKAZI 15,000
BIMA YA AFYA 37,500
Kodi ya nyumba 100,000
Maji 10,000
Umeme 15,000
King'amuzi 10,000
Nauli kazini 40,000
Vocha 10,000

Jumla = 515,650
Sasa 750,000 - 515,650 = 234,350

Hapo ukiweka chakula kwa mwezi ni sawa na ukichukua
234,350/31 = 7560 sasa hii ndo ule wewe na familia yako kwa siku....
HAPO UKIUGUAAAAA TUNAKUOKOTEA MOCHWARI MAANA HATA SENTI TANO YA AKIBA HAKUNA.....LAKINI TUWE NA SUBIRA LABDA MAMBO YATAKUA POA HAPO BAADAE.
Sasa nikiugua si kuna Bima ya Afya na umeorodhesha hapo ila hesabu zako zipo vizuri aide tunaishi kwa mudra ya mnyazi Mungu tu
 
NSSF 75,000
PAYE 90,650
BODI YA MIKOPO 112,500
CHAMA CHA WAFANYAKAZI 15,000
BIMA YA AFYA 37,500
Kodi ya nyumba 100,000
Maji 10,000
Umeme 15,000
King'amuzi 10,000
Nauli kazini 40,000
Vocha 10,000

Jumla = 515,650
Sasa 750,000 - 515,650 = 234,350

Hapo ukiweka chakula kwa mwezi ni sawa na ukichukua
234,350/31 = 7560 sasa hii ndo ule wewe na familia yako kwa siku....
HAPO UKIUGUAAAAA TUNAKUOKOTEA MOCHWARI MAANA HATA SENTI TANO YA AKIBA HAKUNA.....LAKINI TUWE NA SUBIRA LABDA MAMBO YATAKUA POA HAPO BAADAE.
Mkuu vocha sii chini ya 20000
Nauli 60000
Umeme luku mkuu 20000
maji 15000
Chakula kinakamua sana madeni yasiyolipika kwa watumishi hayataisha kamwe
Na hiyo bima wasitarajie watatibiwa kila kitu ,ukiumwa kisawasawa unalipa
Dah
Hii ndo Tanzania yangu
 
Back
Top Bottom