Kama unakataliwa na wanawake wa kichaga, bhasi jua wewe upo mbali na mafanikio

BROKE BOYS

JF-Expert Member
Jan 12, 2019
13,215
39,040
Wanaume huu ni ukweli usiopingika kama hujawai date na demu wa kichaga au unakataliwa basi jua wewe mafanikio yamekupita pembeni.

Madem wa kichaga hawawez date na mwanaume ambaye haonekani kuwa na future au mafanikio mbelen, bhas hawa wanawake wana uwezo wa ku determine maisha ako ya mbeleni.

Ukiona unakumbana na hili tatizo mzee baba jipange kaa chini vizuri wanawake wa hili kabila sio poaa
Wengi mtapinga but huu ndo ukweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aisee, kwahiyo huwezi kuwa na bright future bila ku date na mchaga too bad kwa kweli
IMG_20190213_035653.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume huu ni ukweli usiopingika kama hujawai date na demu wa kichaga au unakataliwa basi jua wewe mafanikio yamekupita pembeni.

Madem wa kichaga hawawez date na mwanaume ambaye haonekani kuwa na future au mafanikio mbelen, bhas hawa wanawake wana uwezo wa ku determine maisha ako ya mbeleni.

Ukiona unakumbana na hili tatizo mzee baba jipange kaa chini vizuri wanawake wa hili kabila sio poaa
Wengi mtapinga but huu ndo ukweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Katika mabar maid waliopo town, idadi kubwa ni ya mademu wa kichaga. Discuss.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanaume huu ni ukweli usiopingika kama hujawai date na demu wa kichaga au unakataliwa basi jua wewe mafanikio yamekupita pembeni.

Madem wa kichaga hawawez date na mwanaume ambaye haonekani kuwa na future au mafanikio mbelen, bhas hawa wanawake wana uwezo wa ku determine maisha ako ya mbeleni.

Ukiona unakumbana na hili tatizo mzee baba jipange kaa chini vizuri wanawake wa hili kabila sio poaa
Wengi mtapinga but huu ndo ukweli.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Nimeshawala wachaga watatu na maisha yangu yako simple

CC Zero IQ
 
Back
Top Bottom