Kama unajua kipara kinakunyemelea fanya hivi

lelulelu

JF-Expert Member
Dec 8, 2017
401
366
Naam kama uzi innavojieleza...vijana wengi wamekuwa wakinyemelewa na vipara(kupotea kwa nywele kichwani)hii sijui inatokana na nini ila utashangaa kijana unamuona anakuja kwa mbaali kichwa kinang'aa kabisa ..

sasa ukitaka kuzikuza nywele ambazo zinapotea kichwani fanya hivi

chukua kitunguu swaumu au kitunguu maji kisha fanya ufanyavyo upate yale maji yake then paka ile sehemu ambayo nywele zinapotea .

baada ya mda tu utaona zinanawiri kabisa.

NB:..hii ni kwa wale wenye kunyonyoka na nywele ,sio wewe miaka nenda rudi upara upo kisha wataka hii..
 
Unapaka kwa muda Gani?
 
mwanaume unatakiwa ujikubali jinsi ulivyo, kujiedit sio ishu, namkubali sana mamvi, inawezekana washauri wengi sana walimwambia apake super black/piko lakini alipuuzia, kwa sababu ya uanaume kamili
kama ulizaliwa na nywele ujue ule upara ndo editing yenyewe mkuu..

unapotaka kuotesha nywele upara ni kutaka kurudi katika asili yako ya zamani na sio kujiedit...
 
Naam kama uzi innavojieleza...vijana wengi wamekuwa wakinyemelewa na vipara(kupotea kwa nywele kichwani)hii sijui inatokana na nini ila utashangaa kijana unamuona anakuja kwa mbaali kichwa kinang'aa kabisa ..

sasa ukitaka kuzikuza nywele ambazo zinapotea kichwani fanya hivi

chukua kitunguu swaumu au kitunguu maji kisha fanya ufanyavyo upate yale maji yake then paka ile sehemu ambayo nywele zinapotea .

baada ya mda tu utaona zinanawiri kabisa.

NB:..hii ni kwa wale wenye kunyonyoka na nywele ,sio wewe miaka nenda rudi upara upo kisha wataka hii..
Lelulelu asante sana kwa hiyo nywele therapy. Ifanyike hivyo mara ngapi kwa siku na kwa muda gani?
 
Dawa za Asili ni huwa ni Salama kwa Afya., tatizo kubwa ni kuwa hatupewi Dozi zilizo sahihi matokeo yake wengi wanahisi ni Utapeli tu!
 
mkuu mie nimetupia tu uzi na wala sipati shilingi ya mtu ...

ila hii nivizuri kuipaka usiku pale wakati UKnapotaka kulala ndo vizuri zaid
 
Naam kama uzi innavojieleza...vijana wengi wamekuwa wakinyemelewa na vipara(kupotea kwa nywele kichwani)hii sijui inatokana na nini ila utashangaa kijana unamuona anakuja kwa mbaali kichwa kinang'aa kabisa ..

sasa ukitaka kuzikuza nywele ambazo zinapotea kichwani fanya hivi

chukua kitunguu swaumu au kitunguu maji kisha fanya ufanyavyo upate yale maji yake then paka ile sehemu ambayo nywele zinapotea .

baada ya mda tu utaona zinanawiri kabisa.

NB:..hii ni kwa wale wenye kunyonyoka na nywele ,sio wewe miaka nenda rudi upara upo kisha wataka hii..
WhatsApp Image 2017-12-13 at 02.38.19.jpeg
 
Hii thread inawahusu wenye udang'a / ualaza

Ila kwani udang'a ni ugonjwa?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom