Kama unajijua unapenda sana Kununa au Kukasirika hovyo usipoteze muda wako kwenda kuishi nchini Uswisi

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,546
108,874
Ukiwa na tabia ya Kununa au Kukasirika hovyo utanyang'anywa Uraia wako au hutopewa kabisa huo Uraia nchini Uswisi ( Switzerland )

Kwa ninavyowajua Watanzania na jinsi wanavyopenda Kukasirika na Kununa hovyo sijui kama wanaweza kuishi nchini Uswisi na nawashauri pia wasipoteze hata muda wao kwenda huko na badala yake waendelee tu kubaki hapa hapa na Kununa na Kukasirika Kwao.

Nawasilisha.

Chanzo Taarifa: Psychological Facts.
 
Uswisi ukienda kula ile hela usije ukaibadilisha kuwa tshs unaweza kuta umetumia laki 1 ya bongo kula lunch!!!!!!
Alafu ukiwa umezoea ukibadilisha dola unapata mihela kibao kama bongo dola mia unapata laki 2 kule dola mia ndio kwanza franc 80!
Yaani kumaliza dola 100 kwa siku ni jambo la kawaida sana.
Nakumbuka nlikuwa natamani siku zangu ziishe nirudi zangu Bongo-bingo!
 
Kuna Nchi Moja Barani Asia Wao Ni Full Kutabasamu Tu Ndiyo Mtindo Wa Kujionesha Kwa Wageni Wanaoitembelea Nchi Yao. Kununa Ni Mwiko
 
Back
Top Bottom