Kama unajijua una lower second class GPA, huwezi kuajiriwa utumishi!

Inakuuma sana watu kuwa BoT,
Fanya biashara acha kufikiria kuajiriwa wewe

Poor mindset wenzako wanaacha kazi wanalipwa dollar 100, 000 per month
Inadepend na Organization dada shakira mfano BOT lazma uwe na gpa 4+, fedha,hazina,sumatra uko uwe na 3.5+ but kama una proffessional qualification inakuwa advantage kwako ila hzo nlizokutajia wapo very serious, bot, fedha huji sikia wanatangaza kazi but hawa huwa wanaenda vyuo vikubwa kama mzumbe, udsm wanachukua candidates walizopata hzo gpa afu wana watrain wanawaajili kimya kmya nyie mtaskia tu flan yupo Bot, mwingine fedha, mwingine hazina nk. GPA ina matter sana kwa sikuhz ndomana hta internship wanataka kuanzia 3.5
 
Inakuuma sana watu kuwa BoT,
Fanya biashara acha kufikiria kuajiriwa wewe

Poor mindset wenzako wanaacha kazi wanalipwa dollar 100, 000 per month

Aisee, campuni nayofanya kazi inanilipa salary ndefu sana kushinda hata hao wa BOT, na nmekataa kazi kwenye taasisi kubwa hapa nchini niliitwa coz ya gpa nzuri niliyopata, si kuona sababu ya kukimbilia coz hku niliko nakula sana shavu. Nmeandika hvi coz nina reference ya rafk zangu tulioitwa nao but ndo hvo me sikutaka.
 
Wapo wengi sana kila uchwao wanapata ajira utumishi. Mtoa post acha kupotosha watu. Au una GPA hiyo na haujawahi kufanikiwa hata kuitwa interview???? Hapana bnah ni bahati ya mtu tu! Bahati yako bado endelea kutuma tu ipo siku utaitwa. Nina vijana kibao wenye GPA hiyo kila siku wananipa ushuhuda wakiwa kazini Serikalini tena hadi picha wanantumia. Na wengine mpaka gari ya ofisi na derrva wamepewa tayari
 
Nimejawa na hasira ilibaki kidogo tu nipandishe tangazo la kuitwa kazini ila nikastuka sijaingia kwenye mtego wako

Hiyo sio kweli..Watu wanazivuruga panel kwa pass unasema nini wewe.
'...watu wanazivuruga panel kwa pass...' nimeelewa sana hayo maneno. Very true.
 
kuna degree na vyuo hazinaga upper second na first class kwa urahisi ila wanaajiriwa sana utumishi..

mfano udsm coet, conas, udbs... ukimkuta mtu na first class au upper second ujue mtabe hasa... na watu wenye gpa ndogo wanapata sana ajira utumishi
Sasa mkuuu hiki si chuo kimoja na ndaki zake zote au ?
 
Inadepend na Organization dada shakira mfano BOT lazma uwe na gpa 4+, fedha,hazina,sumatra uko uwe na 3.5+ but kama una proffessional qualification inakuwa advantage kwako ila hzo nlizokutajia wapo very serious, bot, fedha huji sikia wanatangaza kazi but hawa huwa wanaenda vyuo vikubwa kama mzumbe, udsm wanachukua candidates walizopata hzo gpa afu wana watrain wanawaajili kimya kmya nyie mtaskia tu flan yupo Bot, mwingine fedha, mwingine hazina nk. GPA ina matter sana kwa sikuhz ndomana hta internship wanataka kuanzia 3.5
Duu aisee
 
Back
Top Bottom